Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Hivi ni lini tutaweza kufanya kazi bila longolongo?
Bandari ndio uozo hata wawekwe nani
Bandari ndio uozo hata wawekwe nani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii habari nimeisikia tangu jana na inadaiwa kuna urasimu unafanyika.
Mama Samia huenda anahujumiwa na tatizo lake ni kutoweka watu wake kuanzia serikali kuu bali kaamua kurithi aliowakuta.
Hata huyo boss mpya wa bandari aliyemuweka hawezi timiza majukumu yake vizuri kama amezungukwa na watu wenye lengo la kuharibu/kuhujumu kuanzia huko juu.
Mawaziri wa Magu sidhani kama wanajitoa kiasi cha kutosha kumsaidia huyu mama.
Habari yenyewe ni hii:
Kawaulize walioko huko mkuu, I think government ina access na taarifa kutoka kila kona.. Na namna ya udhibiti wa mifumo yao. Hao ndio wanajua imekuwa down kwa sababu gani.System imeanza kuwa down baada ya Magufuli?
Hii habari nimeisikia tangu jana na inadaiwa kuna urasimu unafanyika.
Mama Samia huenda anahujumiwa na tatizo lake ni kutoweka watu wake kuanzia serikali kuu bali kaamua kurithi aliowakuta.
Hata huyo boss mpya wa bandari aliyemuweka hawezi timiza majukumu yake vizuri kama amezungukwa na watu wenye lengo la kuharibu/kuhujumu kuanzia huko juu.
Mawaziri wa Magu sidhani kama wanajitoa kiasi cha kutosha kumsaidia huyu mama.
Habari yenyewe ni hii:
Mkuu,Zaidi ya Malori zaidi ya 1000 yamekwamaKatika Bandari ya Mjini Dares-Salam Utafikiri wahusika hawapo.
Meneja wa Bandari, Mkurugenzi wa Bandari na Waziri Anayehusika na uchukuzi. Mheshimiwa Rais Mama Samia Hassan Suluhu Wawajibishe hao viongozi watatu .Wanalitia Hasara Taifa kwa kutopata pesa katika Bandari ya Mjini Dares-Salaam .Mambo ya rushwa yamerudi tena Bandarini Mama Rais Fanya kazi yako.
View attachment 1781266
Mama yuko busy anasambua engineZaidi ya Malori zaidi ya 1000 yamekwamaKatika Bandari ya Mjini Dares-Salam Utafikiri wahusika hawapo
Diagnosing possibilitiesTulieni nyie haya mambo ndio yanaleta mzunguko wa pesa mtaani, au nasema uongo ndugu zangu?
View attachment 1781294
Leo asubh nilipita ofis moja inahusika na Clearing and Forwarding, wakaanza kupiga stori za Bandari kuwa kuna watumishi sikuhizi hawaendi kazini pale Bandari na ndio maana usumbufu umekuwa mwingi..!! Kwa bahati nzuri akieongea haya ni mmama ila aliweka bayana ile kazi Samia sidhani kama ataiweza maana sasahivi pale uzembe umerudi watu hawaendi ofisn wao kazi yao kuweka miforeni tu ila wale rushwa, akamalizia Tangia Magufuli afariki ni ovyo kabisa.Zaidi ya Malori zaidi ya 1000 yamekwamaKatika Bandari ya Mjini Dares-Salam Utafikiri wahusika hawapo.
Meneja wa Bandari, Mkurugenzi wa Bandari na Waziri Anayehusika na uchukuzi. Mheshimiwa Rais Mama Samia Hassan Suluhu Wawajibishe hao viongozi watatu .Wanalitia Hasara Taifa kwa kutopata pesa katika Bandari ya Mjini Dares-Salaam .Mambo ya rushwa yamerudi tena Bandarini Mama Rais Fanya kazi yako.
View attachment 1781266
Taasisi zinajengwa na watu na watu wenyewe ndio hao,hii ndio tabia yetu kabla hata Magu hajawa rais.ndio maana wenzetu wamewekeza kwenye uimara wa taasisi maana wanasiasa wanakuja na kupita ila taasisi zpo palepale cku zote, anyway tumwache mama ajipange afanye kazi
Leo asubh nilipita ofis moja inahusika na Clearing and Forwarding, wakaanza kupiga stori za Bandari kuwa kuna watumishi sikuhizi hawaendi kazini pale Bandari na ndio maana usumbufu umekuwa mwingi..!! Kwa bahati nzuri akieongea haya ni mmama ila aliweka bayana ile kazi Samia sidhani kama ataiweza maana sasahivi pale uzembe umerudi watu hawaendi ofisn wao kazi yao kuweka miforeni tu ila wale rushwa, akamalizia Tangia Magufuli afariki ni ovyo kabisa.
Kuwa na adabu wewe chokoMama yuko busy anasambua engine