t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
Taasisi imara ni ile inayoendeshwa na principles sio matamkoToa ufafanuzi uhimara wa taasisi inatakiwa uwaje? Je anayesimamia hiyo taasisi anatakiwa awaje?
Ukishakuwa na kanuni nzuri , matamko yanapotea automatically.
Ukishakuwa na matamko , jua siku haupo watu wanarudi square one.na ndio kilichokuwa kinatokea katika utawala wa 5, mikwara mingi akifika sehemu , akitoka watu wanaendeleza libeneke.