Malori yakwama bandarini Dar, madereva walalamikia ukiritimba na rushwa kurudi kama zamani

Hivi ni lini tutaweza kufanya kazi bila longolongo?
Bandari ndio uozo hata wawekwe nani
 
Right,

Mama anatakiwa aweke watu wake kuanzia ikulu kama meko alivyofanya.

Meko aliyoa watu wa jk wotee.

Sasa mama anarembue rembue tu mijitu ya meko yote ina roho mbaya kama kina muroto na kina sabaya

Na yapo mengi tu roho mbayaa kama pili pili
 
System imeanza kuwa down baada ya Magufuli?
Kawaulize walioko huko mkuu, I think government ina access na taarifa kutoka kila kona.. Na namna ya udhibiti wa mifumo yao. Hao ndio wanajua imekuwa down kwa sababu gani.

Sisi wataka huduma tukifika kule maofisini kwao tunaambiwa system down. Hatujui sababu na hatujawahi kuuliza sababu na sidhani hata kama tukiuliza tunaweza kupewa majibu yakinika.
 
Meneja anatakiwa kuwa mkali ikiwezekana aunde task force ya wafanyakazi anaowaamini ili wabaini wazembe na wahujumu wa kazi na kuwasimamisha.
Hilo suala lipo chini ya uwezo wake
 
Watanzania tunamatatizo sana hatuwezi kwenda bila viboko fukuza hao ajili watu wengine
 
Zaidi ya Malori zaidi ya 1000 yamekwamaKatika Bandari ya Mjini Dares-Salam Utafikiri wahusika hawapo.
Meneja wa Bandari, Mkurugenzi wa Bandari na Waziri Anayehusika na uchukuzi. Mheshimiwa Rais Mama Samia Hassan Suluhu Wawajibishe hao viongozi watatu .Wanalitia Hasara Taifa kwa kutopata pesa katika Bandari ya Mjini Dares-Salaam .Mambo ya rushwa yamerudi tena Bandarini Mama Rais Fanya kazi yako.


Your browser is not able to display this video.
 
Mkuu,
Watu wanalilia mzunguko wa pesa mtaani, this is what they mean.
Acha inyeshe tuone panapovuja, tutamkumbuka very soon.
 
MATAGA+SUKUMA GANG mna pumzi ya kutosha? Maana naona mnataka kuijaribu sumu kwa kuilamba.

Tena watakaowateka na kuwang'oa kucha na meno bila ganzi ni wasukuma wenzenu.

Acheni hiyo michezo kubalini ukweli kuwa bosi wenu yupo futi sita chini na ameshaoza tayari.
 
Leo asubh nilipita ofis moja inahusika na Clearing and Forwarding, wakaanza kupiga stori za Bandari kuwa kuna watumishi sikuhizi hawaendi kazini pale Bandari na ndio maana usumbufu umekuwa mwingi..!! Kwa bahati nzuri akieongea haya ni mmama ila aliweka bayana ile kazi Samia sidhani kama ataiweza maana sasahivi pale uzembe umerudi watu hawaendi ofisn wao kazi yao kuweka miforeni tu ila wale rushwa, akamalizia Tangia Magufuli afariki ni ovyo kabisa.
 

Uongozi ni kipaji na si vinginevyo, uongozi unahitaji kujituma, uongozi unahitaji kufikiri sana, uongozi unahitaji ubunifu, kiukweli huyu mama ni kama ana practice mapishi, mtu wa kumsaidia zaidi alikuwa Majaliwa lakini naye amewekwa kwenye deep freezer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…