Malori yasipodhibitiwa na serikali kuyakagua mara kwa mara, tunakoelekea siko

Malori yasipodhibitiwa na serikali kuyakagua mara kwa mara, tunakoelekea siko

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Ajali ya gari yatokea Tegeta, yahusisha magari matatu. Ijumaa, Novemba 11, 2022

Malori mengi ni magari mabovu yanayopita Barabarani bila kufanyika ukaguzi maalum. Mwisho kusababisha ajali sinaziweza kuzuilika.

0C9604C8-B445-482D-BDEA-D71D4D5EA696.jpeg
 
Habari yako haijashiba. kama vile una haraka ya kuripoti hili suala. Mimi ni mkazi wa Tegeta, nimesikia kuhusu hiyo ajali. Sijapata kujua zaidi kuhusu hiyo ajali. nilitegemea kupata chchte toka kwako, kama unacho cha kuufahamisha umma.
 
Malori mengi ni magari mabovu yanayopita Barabarani bila kufanyika ukaguzi maalum.
Mara nyingi lawama huwa ni kwenye Malori ila gari ndogo zinavyochomekea huwa hamzioni.

Malori ndio yanayoendesha uchumi huu.
 
Madai ya awali ni lori hilo kufeli brake na kugonga magari matatu madogo mapema leo asubuhi hadi naondoka eneo la ajali kulikuwepo na maiti tatu zilizotolewa kwenye gari moja.
 
habari yako haijashiba. kama vile una haraka ya kuripoti hili suala. mimi ni mkazi wa tegeta, nimesikia kuhusu hiyo ajali. sijapata kujua zaidi kuhusu hiyo ajali. nilitegemea kupata chchte toka kwako, kama unacho cha kuufahamisha umma.
Dar es Salaam. Watu kadhaa wanahofiwa kujeruhiwa kutokana na ajali iliyohusisha magari matatu iliyotokea eneo la Kitengule Tegema jijini Dar es Salaam leo Novemba 11, 2022.

Kamanda wa polisi mkoa wa Kinondoni, Mtatiro Kitinkwi amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo alipoulizwa kwa simu, hata hivyo amesema taarifa zaidi atazitoa kwani kwa sasa yupo nje ya ofisi.

“Nilikuwa nje ya ofisi kikazi ndiyo ninarudi, lakini hilo tukio lipo na limetokea…nikirudi ofisi nikiiandaa basi nitatoa taarifa,” amesema kamanda huyo.
 
Back
Top Bottom