peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Mara nyingi lawama huwa ni kwenye Malori ila gari ndogo zinavyochomekea huwa hamzioni.Malori mengi ni magari mabovu yanayopita Barabarani bila kufanyika ukaguzi maalum.
Dar es Salaam. Watu kadhaa wanahofiwa kujeruhiwa kutokana na ajali iliyohusisha magari matatu iliyotokea eneo la Kitengule Tegema jijini Dar es Salaam leo Novemba 11, 2022.habari yako haijashiba. kama vile una haraka ya kuripoti hili suala. mimi ni mkazi wa tegeta, nimesikia kuhusu hiyo ajali. sijapata kujua zaidi kuhusu hiyo ajali. nilitegemea kupata chchte toka kwako, kama unacho cha kuufahamisha umma.