Malumbano ya Spika Sitta na Mzee Mrema

Malumbano ya Spika Sitta na Mzee Mrema

mzee anaomba nafasi kiutuuzima mkuu

Uko sahihi Babu, lakini, sisi M tutampaje kazi ilhali bado ako kwa mwajiri mwingine?
Awaige hawa wafuatao ambao tumewapa vibarua chamani kwetu:-

1. Daniel Nsanzugwanko (sijui kama spelling za jina la pili ziko Ok ama la)
2. Walid Kabourou (nae sina uhakika na spelling za jina la mwisho)
3. Frank Magoba
4. Shaibu Akwilombe
5. Thomas Ngawaiya
6. Hiza Tambwe etc.
 
Mzee mbona kila kitu Mrema alisema Mrema alisema amekuwa reference yako au ni kitabu kitakatifu chako kuwa hakipingwi jaribu kuja na reference zingine

Kwi kwi... usiniue mbavu Luteni... Ben alinipa hiyo infomation na nikawa nareference back to him...( please read the post comments btn me and him)..

alafu Luteni mimi si mzee... mbona tunapeana jinsia and umri usio wakwetu 🙁
 
Sitta is right..Mreama amefulia kwa kila kitu.Anajitahidi kujipendekeza kwa Rais kwa gharama zozote zile.Anatamani kurudi CCM lakini naona aibu hivyo ameamua chama chake kimilikiwe na Kikwete.
 
Hadi utakapofikia wakati ambapo Tanzania itakuwa na vyama vingi vya siasa ndipo maendeleo yatakuja.
Hadi sasa bado tupo palepale, hata kwenye chaguzi zetu ni sawa tu na kuweka mgombea mmoja na kivuli, kama wakati ule wa Mzee Mwinyi, maana waliopo kwenye vyama vya upinzani ni kama vivuli wa CCM. Hivyo kuona Mrema anaongelea siasa za CCM baadala ya kuongelea namna TLP na vyama vingine vinavyoweza ku-take advantage ya migogoro ndani ya CCM na kujijenga, sio kitu cha ajabu.
Sitta , ni spika ambaye kaleta changamoto nyingi ndani ya Bunge na amefanya maamuzi mengi ambayo yanaleta mwanga mzuri kwa taifa letu kwa ujumla ( ofcourse, ukiangalia kwa ufinyu, na akili yako ikiwa ni ile yenye mwelekeo wa kifisadi isiyoangalia mstakabali wa taifa bali maendeleo binafsi, ninachokiongea hutakielewa).
 
Sitta is right..Mreama amefulia kwa kila kitu.Anajitahidi kujipendekeza kwa Rais kwa gharama zozote zile.Anatamani kurudi CCM lakini naona aibu hivyo ameamua chama chake kimilikiwe na Kikwete.
Ni wachache sana wanaoona Sitta kaleta mapinduzi ndani ya bunge wengi hawaoni kinachoendelea kuna wengine hawajui kabisa wanaojua baadhi yao wanajifanya hawaelewi kwa sababu zao wenyewe ndiyo maisha hawalazimishwi kuamini ila na sisi tunaoona wasitulazimishe tuwe kama wao
 
Majasho unamtumikia nani?
Umelipwa shiing' ngapi mwenzangu?
Utawasilisha lini majibu ya tafiti hii kwa tajiri yako?

Binafsi nalipwa na CHADEMA? unataka kujua ni shilling ngapi?
Nitawasilisha nini?kwani umesoma ukajua huo ni utafiti wangu...soma kichwa cha habari....HOJA YA MREMA DHIDI YA SITTA..sio hoja yangu...wewe badala kuzingatia hoja unafuata aliyeweka..waangapi umeshawauliza?

nimekusamehe tu maana......... Uko kwenye STUPID mode.............
 
kwangu bado namuona SITTA ni shujaa, hebu angalia alivyosalitiwa na wabunge wenzake katika swala zima la maslahi ya UMMA , kweli alijitoa muhanga kutufikisha hapa, bado amefanya mengi mazuri kulinganisha na Msekwa, angalau aliruhusu demokrasia na uhuru wa kuongea Bungeni kwa wapinzani, japo alikua na mashinikizo mengi.
Ndo maana watu wengi wanaomba spika asiwe na chama ili kumuondolea mashinikizo mengi.
ila asante sana SITTA, Umegusa na kusaidia maisha yetu, umeleta mageuzi makubwa Bungeni , umeandaa muundo ambao kwa spika ajae ataweza kuendelea mbele vizuri.
 
I guess ulikuwa unareply my answer... inatofautiana na aliyokuwa anafanya enzi zake kwa sababu mrema hakuwa mnafiki... alikuwa asipopenda kitu anaweka wazi na kama hamna upatanisho.. anawalk away..

Sasa sitta kwanini hajafanya hivyo? kwasababu anaogopa kuitwa amefulia kama akiupoteza uspika? is it morally wrong to loose all for the right cause and make a better change? if that is the case then he shouldnt bother to say yeye ni mpiganaji etc.. mrema at least was honest to himself and did what was right at that time though he had to Sacrifice and loose uwaziri etc..... tell me what has Sitta Sacrifice and lost kwa kututetea mimi na wee?

Mkuu,

Plz tell me you are joking,Mrema was honest? so kwa hiyo unafiki wake umeanza jana ktk kugeuka 390 degrees na kushabikia CCM na kikwete?

Si lazima upoteze kitu katika mchakato wa kupigania haki,demokrasia na kadhalika.

Kwanza huoni ali-sacrifice legacy yake ndani ya Party?His legacy as speaker of the URT parliament is in compromise!

Mrema was a front runner in throwing allegetions against CCM and the so called Ufisadi,yet currently he's the cheer leader wa Ufisadi.plz let us be serious even once
 
- Spika is doing a great job, unajua sometimes tunahitaji kutoa mifano zaidi ya utendaji wa Sitta, ili kuonyesha kwamba anaharibu until then yaani tutakapoweza kuonyesha tofauti, hatuna choice it is what we have in Sitta, against what we do not have in the Mremas!

- Tuambieni nani anafanya kazi njema kuliko Sitta, badala ya lawama za kila siku bila facts against, inachosha, kila mtu hafai sasa anayefaa ni nani hasa humu JF?

- Zitto hafai, Dr. Slaa hafai, Sitta hafai, Serukamba hafai, Mbowe hawezi kugombea urais hafai, Mama Migiro hafai naye hana lolote, sasa anayefaa ni nani hasa? Wakijitokeza wenzetu humu kina Mtanzania kujaribu kugombea ooooohhh tena huyu hafai kabiasaaa maana ninamjua sana hafai hafai hafai,

- Wallahi soon tunakuwa JF hafai! badala ya where we dare kumkoma nyani!

Respect.

FMEs!
 
wakuu kama hatutakua makini JF itakuja kuwa 'where we dare to hate openly'.
 
I think the truth can be told without hating.

On the other hand, has it occurred to any of us that Mrema is "repaying" the President's act of good will (sending him to India for medical attention)? Personally, this is how I see it. Mrema was practically mumb regarding Kikwete and CCM politics save for the occasional mumble, until his return from India.

Makes me wonder if TLP still exists as an opposition party or is now the "anti-Sitta" wing of CCM
 
Mkuu,

Plz tell me you are joking,Mrema was honest? so kwa hiyo unafiki wake umeanza jana ktk kugeuka 390 degrees na kushabikia CCM na kikwete?

Si lazima upoteze kitu katika mchakato wa kupigania haki,demokrasia na kadhalika.

Kwanza huoni ali-sacrifice legacy yake ndani ya Party?His legacy as speaker of the URT parliament is in compromise!

Mrema was a front runner in throwing allegetions against CCM and the so called Ufisadi,yet currently he's the cheer leader wa Ufisadi.plz let us be serious even once

Mkuu interms of sacrificing hapo naona sasa ni yale ya kupenda chongo mkuu na kubishana kwa nguvu zako zote kwamba ni kenegeza.
Legacy as a speaker of the URT parliament vs party membership,uwaziri na manufaa/mafao yote yanayoendana na chama tawala
 
Diabetes is a serious illness...when blood glucose is very high can lead to POOR MEMORY and DIMINISH YOUR BRAIN POWER.

Kama Mrema anataka kuendelea na siasa..he has to inject insulin more accurately.
 
Diabetes is a serious illness...when blood glucose is very high can lead to POOR MEMORY and DIMINISH YOUR BRAIN POWER.

Kama Mrema anataka kuendelea na siasa..he has to inject insulin more accurately.

Siko hapa kumetetea yeyote,maslahi ya Taifa kwanza,however facts speaks for themselves,eleweni tofauti kati ya facts and fictions,usiangalie mtu anakula nini ama personal issues...Mbona kiukweli hakuna aliyesema kuwa haitakiwi kunufaika tena kisiasa na issue ya Richmond kwasababu ukweli ni kwamba umetumia uwezo wako kuizika huko bungeni?Unless something really different and tangible happens,ni taendelea kuamini kwamba wanasiasa watakaotumia issue ya Richmond kujipatia umaarufu wa kisiasa na wakati walikuwa na nafasi ya kufanya hivyo huko bungeni badala ya kuizika sitawasikiliza....Matendo ya wanasiasa yapimwe huko bungeni na msimsikilize Pinda,ya kwenye majukuwaa ni propaganda,facts facts and more facts plz...

Pia kuhusiana na Rais gani ambaye licha ya kwamba hakuna ya kuridhisha sana kimabadiliko kwa kulinganisha kwenye utawala wa ccm,ni wazi kama alivyosema Mrema,mwalimu mwenyewe alikuwa akiwaamisha kazi mafisadi badala ya kuwapelekea mahakamani,only wale waliokuwa wakimpinga style yake ya uongozi ndiyo walipata matatizo,hivyo kuna ukweli kwamba baadhi ya aliyoyafana muungwana hata mwalimu hakuwa na balls za kuyafanya.
Hadi hapo vitendo vitakapoonekana thats when and only when nitakubaliana na kuwa yupi ni mkweli na si maneno tupu.
 
Mkuu,

Plz tell me you are joking,Mrema was honest? so kwa hiyo unafiki wake umeanza jana ktk kugeuka 390 degrees na kushabikia CCM na kikwete?

Si lazima upoteze kitu katika mchakato wa kupigania haki,demokrasia na kadhalika.

Kwanza huoni ali-sacrifice legacy yake ndani ya Party?His legacy as speaker of the URT parliament is in compromise!

Mrema was a front runner in throwing allegetions against CCM and the so called Ufisadi,yet currently he's the cheer leader wa Ufisadi.plz let us be serious even once

OMG... are you really serious Ben... Speaker comprimised his legacy in CCM? if so why on the earth alikubaliana nao kuvyunja mjadala wa Richmond.. was that for us tanzanians or for himself and CCM?

Kwanza kabisa inabidi umake up your mind towards mrema.. is he pandikizi la CCM kuaribu upinza or ni shushushu or ni mpizani... he cant be all of the above above can he?

To be honest I slowly start to question about JF intelligence.. are we here to jadili speculations or things based on FACTS!!!!
 
Diabetes is a serious illness...when blood glucose is very high can lead to POOR MEMORY and DIMINISH YOUR BRAIN POWER.

Kama Mrema anataka kuendelea na siasa..he has to inject insulin more accurately.

How sure are you he doesnt inject insulin as required... or if he even needs the enjection...
Sorry Babu M... but these are kind of comments which i think do comprimise JF intelligence... wanaJF tumekuwa tukionge pumba ...recently everything is based on personal opinion (speculation) za mitaani not facts..
 
Mwenyekiti wa Tanzania Labour Party Mh Augustine Mrema leo ametangaza fedha alizonazo kwenye account yake ya benki. Mrema amesema ana shilling miilion 37 kwenye hiyo akaunti ambazo zimemzidi za Waziri Mkuu Mizengo Pinda. Pinda ambaye hivi karibuni alitangaza kwamba ana shilling million 25 kwenye account yake.

Mrema amehoji kama ana fedha zaidi ya Waziri Mkuu Pinda iweje Sitta aseme hana uwezo wa kifedha. Kama yeye kafulia Waziri mkuu ni vipi......

Habari zaidi nikizipata...............................
 
he he heee,mtu wa pili kuplekwa mirembe huyooo,pinda mpe maneno yake,sasa ndio huyu angekuwa rais wetu huyu???
 
Pamoja na wehu wake, lakini hapa amenifanya nicheke sana. Hilarious!
 
Back
Top Bottom