Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 15,328
- 11,192
mzee anaomba nafasi kiutuuzima mkuu
Uko sahihi Babu, lakini, sisi M tutampaje kazi ilhali bado ako kwa mwajiri mwingine?
Awaige hawa wafuatao ambao tumewapa vibarua chamani kwetu:-
1. Daniel Nsanzugwanko (sijui kama spelling za jina la pili ziko Ok ama la)
2. Walid Kabourou (nae sina uhakika na spelling za jina la mwisho)
3. Frank Magoba
4. Shaibu Akwilombe
5. Thomas Ngawaiya
6. Hiza Tambwe etc.