Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,193
Dawa ya mrema ni kumuacha tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
alilia na akapiga sala kule bunda kwamba awalaani chadema kwani wanataka kumnyanganya kajimbo hako kamoja tuu,wakati wao chadema wana majimbo kibao,na hiyo sala si mzaha,ni sala haswa ya laana naona huyu mzee washauri wake wampeleke kiborloni sasa akafungue kilabu cha mbege siasa zishamshinda.Jamani huyu mzee wa Kiraracha anaelekea kuchanganyikiwa sasa sio bure, Eti huyu nae anataka Ubunge ataweza kuwa kilisha wakazi wa Vunjo kweli?
TLP account yake ni kwa jina la mrema sasa labda atueleze za chama ni ngapi na za kwake binafsi ni sh ngapi.
Hold on,Hivi Mrema katangaza mali zake kwa kufuata ile sheria/dhana ya maadili ya uongozi au kwa vile sitta alisema kafuli?nadhani tukishajua ile dhamira ndipo tutakapoelewana vizuri
Hold on,Hivi Mrema katangaza mali zake kwa kufuata ile sheria/dhana ya maadili ya uongozi au kwa vile sitta alisema kafuli?nadhani tukishajua ile dhamira ndipo tutakapoelewana vizuri
alilia na akapiga sala kule bunda kwamba awalaani chadema kwani wanataka kumnyanganya kajimbo hako kamoja tuu,wakati wao chadema wana majimbo kibao,na hiyo sala si mzaha,ni sala haswa ya laana naona huyu mzee washauri wake wampeleke kiborloni sasa akafungue kilabu cha mbege siasa zishamshinda.
Spika Sita aache kujibishana na Mrema, mwishowe watu watashindwa kuona tofauti..
-Mrema alikuwa mchapa kazi sana akiwa serikalini.Nashukuru tu huyu jama aliukosa Urais 1995 coz the guy is a dictator
I used to be his dead fan but mhh...
nakumbuka alivyopkua akimkandia kikwete,leo hii amegeuka kuwa shabiki wake na tena anampigia kampeni.He should do better than this.Kuna watu wako hapa hawataki kusikia kitu kama hii nilioandika but ukweli ndiyo huo wapende wasipende Mrema is no more politically
Ben... ujaleta most important evidence uliyosema mrema alisema ana 300 mil on his account..
just one question for you.. why most opposition political leaders sasa hivi hawagombei urais bali ubunge?
-Mrema alikuwa mchapa kazi sana akiwa serikalini.Nashukuru tu huyu jama aliukosa Urais 1995 coz the guy is a dictator
I used to be his dead fan but mhh...
nakumbuka alivyopkua akimkandia kikwete,leo hii amegeuka kuwa shabiki wake na tena anampigia kampeni.He should do better than this.Kuna watu wako hapa hawataki kusikia kitu kama hii nilioandika but ukweli ndiyo huo wapende wasipende Mrema is no more politically
Ben, it on my believe that it doesnt matter.. the point hapa ni kwamba ametangaza how much he has in his saving account... i dont think he even add unremoved assets.. n.b kwani pinda alitangaza mali zake kwa sheria ipi?
I am still waiting for evidence ya comment yako ya awali kwanba previous Mrema alitangaza ana 300mil on his saving account...
CHADEMA wanamuonea wivu, bifu hiyo ilianza huko Biharamulo, na Mrema kumshabikia Kikwete..Mbowe amemind na CHADEMA nzima...................
Tukichambua kilichosemwa badala ya aliyesema tutafahamu dhana halisi ya mjadala huu.
Wabongo tumekuwa watu wa kufuata mkumbo na Rais mwenyewe keshasema ndio utajua kwa hakika kuwa confidence yake si bure kwa utaratibu huu,yani mtu akiwa maarufu basi hata akiongea pumba watu makofi lakini ,lakini wengine ambao ni "No more politically" ambao kwa maoni yangu ni sawa pia na "not politically at all" wakiongea ni pumba wala kisisikilizwe.hapo ni sawa na kuthink within the box.
Kama ni kweli Mrema is no more politically why then bother?
Kama mmeshaconclude kwamba yeye si upinzani na kwasababu pia chama chake hakina hata mbunge,then why worry? Tena ukizingatia kuwa issue yenyewe ni ccm vs ccm?Kinachotakiwa kwa upinzani ni kuonyesha ni kwa vipi wao ni mbadala na si kuangalia Mrema kasema nini unless he's really not politically dead kama mnavyodai.
Ukichunguza kwa makini whts worrysome to most of his advessaries on my opinion,its what he actually said,rather than his political status on the public eye,sasa mna counter argue kwa personal issue and mudslings,that will never work because hapa JF facts ndizo zinajadiliwa mkuu,dont forget that.
we wamekupiga ban au umeamua toa avatar yako km camel?mi sielewiDuu,malumbano bado yanaendelea.