Malumbano ya Spika Sitta na Mzee Mrema

Malumbano ya Spika Sitta na Mzee Mrema

Jamani huyu mzee wa Kiraracha anaelekea kuchanganyikiwa sasa sio bure, Eti huyu nae anataka Ubunge ataweza kuwa kilisha wakazi wa Vunjo kweli?
 
Mrema.??????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! ama kweli kaishiwa mashairi.!!!!!!!!!
 
Jamani huyu mzee wa Kiraracha anaelekea kuchanganyikiwa sasa sio bure, Eti huyu nae anataka Ubunge ataweza kuwa kilisha wakazi wa Vunjo kweli?
alilia na akapiga sala kule bunda kwamba awalaani chadema kwani wanataka kumnyanganya kajimbo hako kamoja tuu,wakati wao chadema wana majimbo kibao,na hiyo sala si mzaha,ni sala haswa ya laana naona huyu mzee washauri wake wampeleke kiborloni sasa akafungue kilabu cha mbege siasa zishamshinda.
 
TLP account yake ni kwa jina la mrema sasa labda atueleze za chama ni ngapi na za kwake binafsi ni sh ngapi.

Pls evidence.. maana hii ni kali.. and almost impossible maana TLP ni political party and i believe wanapata posho toka kwa government... if that so.. do you mean government wanatrafer hela za tlp kwa mrema not tlp?
 
Hold on,Hivi Mrema katangaza mali zake kwa kufuata ile sheria/dhana ya maadili ya uongozi au kwa vile sitta alisema kafuli?nadhani tukishajua ile dhamira ndipo tutakapoelewana vizuri

ametangaza kwa ajili ya Sitta.......
 
Hold on,Hivi Mrema katangaza mali zake kwa kufuata ile sheria/dhana ya maadili ya uongozi au kwa vile sitta alisema kafuli?nadhani tukishajua ile dhamira ndipo tutakapoelewana vizuri

Ben, to me it doesnt matter.. the point hapa ni kwamba ametangaza how much he has in his saving account... i dont think he even add unremoved assets.. n.b kwani pinda alitangaza mali zake kwa sheria ipi?

I am still waiting for evidence ya comment yako ya awali kwanba previous Mrema alitangaza ana 300mil on his saving account...
 
Dua za waislam ktk ile kashfa ya mwembe chai zimemmaliza....Amekuwa kama kichaa sasa...

Pole mrema
 
alilia na akapiga sala kule bunda kwamba awalaani chadema kwani wanataka kumnyanganya kajimbo hako kamoja tuu,wakati wao chadema wana majimbo kibao,na hiyo sala si mzaha,ni sala haswa ya laana naona huyu mzee washauri wake wampeleke kiborloni sasa akafungue kilabu cha mbege siasa zishamshinda.

CHADEMA wanamuonea wivu, bifu hiyo ilianza huko Biharamulo, na Mrema kumshabikia Kikwete..Mbowe amemind na CHADEMA nzima...................
 
Spika Sita aache kujibishana na Mrema, mwishowe watu watashindwa kuona tofauti..

just to add here...

pia Sitta aache kutaka public Sympathy kwa kujieleza eti CCM wanamuonea... nawakati he had every opportunity kutuonyesha by action kwamba akubaliani na CCM na givernment kuvunja mjadala wa richmond...

I personally do judge a person and a leader by his action not by his words
 
-Mrema alikuwa mchapa kazi sana akiwa serikalini.Nashukuru tu huyu jama aliukosa Urais 1995 coz the guy is a dictator

I used to be his dead fan but mhh...
nakumbuka alivyopkua akimkandia kikwete,leo hii amegeuka kuwa shabiki wake na tena anampigia kampeni.He should do better than this.Kuna watu wako hapa hawataki kusikia kitu kama hii nilioandika but ukweli ndiyo huo wapende wasipende Mrema is no more politically
 
Ben... ujaleta most important evidence uliyosema mrema alisema ana 300 mil on his account..

just one question for you.. why most opposition political leaders sasa hivi hawagombei urais bali ubunge?
 
Swala la evidence nitaleta...please usinipangie muda

kuhusu swali lako,lengo ni kuongoza viti vingi bungeni na still bado hawajatangaza kama vyama vyao havitasimamisha wagombea ama la!
 
-Mrema alikuwa mchapa kazi sana akiwa serikalini.Nashukuru tu huyu jama aliukosa Urais 1995 coz the guy is a dictator

I used to be his dead fan but mhh...
nakumbuka alivyopkua akimkandia kikwete,leo hii amegeuka kuwa shabiki wake na tena anampigia kampeni.He should do better than this.Kuna watu wako hapa hawataki kusikia kitu kama hii nilioandika but ukweli ndiyo huo wapende wasipende Mrema is no more politically

Tukichambua kilichosemwa badala ya aliyesema tutafahamu dhana halisi ya mjadala huu.

Wabongo tumekuwa watu wa kufuata mkumbo na Rais mwenyewe keshasema ndio utajua kwa hakika kuwa confidence yake si bure kwa utaratibu huu,yani mtu akiwa maarufu basi hata akiongea pumba watu makofi lakini ,lakini wengine ambao ni "No more politically" ambao kwa maoni yangu ni sawa pia na "not politically at all" wakiongea ni pumba wala kisisikilizwe.hapo ni sawa na kuthink within the box.

Kama ni kweli Mrema is no more politically why then bother?

Kama mmeshaconclude kwamba yeye si upinzani na kwasababu pia chama chake hakina hata mbunge,then why worry? Tena ukizingatia kuwa issue yenyewe ni ccm vs ccm?Kinachotakiwa kwa upinzani ni kuonyesha ni kwa vipi wao ni mbadala na si kuangalia Mrema kasema nini unless he's really not politically dead kama mnavyodai.

Ukichunguza kwa makini whts worrysome to most of his advessaries on my opinion,its what he actually said,rather than his political status on the public eye,sasa mna counter argue kwa personal issue and mudslings,that will never work because hapa JF facts ndizo zinajadiliwa mkuu,dont forget that.
 
Ben, it on my believe that it doesnt matter.. the point hapa ni kwamba ametangaza how much he has in his saving account... i dont think he even add unremoved assets.. n.b kwani pinda alitangaza mali zake kwa sheria ipi?

I am still waiting for evidence ya comment yako ya awali kwanba previous Mrema alitangaza ana 300mil on his saving account...

Kwa hiyo according to you it doesnt matter kama Mrema katangaza ili kuthibitisha utajiri na si kwa sababu kaona kuna umuhimu wa kuzingatia sheria ya maadili ya umma!

Kuhusu Pinda,nadhani kuna sheria iliyomuongoza na si yeye tu hata mawaziri walitakiwa watangaze mali zao lakini hawakufanya hivyo na imekua inactive
 
CHADEMA wanamuonea wivu, bifu hiyo ilianza huko Biharamulo, na Mrema kumshabikia Kikwete..Mbowe amemind na CHADEMA nzima...................

You must be kidding,CHADEMA wamuonee wivu Mrema,kwa lipi hasa....Duu hapa umechemsha mkuu...Mrema sio saizi ya CHADEMA alishakufa kisiasa long time ago...
 
Tukichambua kilichosemwa badala ya aliyesema tutafahamu dhana halisi ya mjadala huu.

Wabongo tumekuwa watu wa kufuata mkumbo na Rais mwenyewe keshasema ndio utajua kwa hakika kuwa confidence yake si bure kwa utaratibu huu,yani mtu akiwa maarufu basi hata akiongea pumba watu makofi lakini ,lakini wengine ambao ni "No more politically" ambao kwa maoni yangu ni sawa pia na "not politically at all" wakiongea ni pumba wala kisisikilizwe.hapo ni sawa na kuthink within the box.

Kama ni kweli Mrema is no more politically why then bother?

Kama mmeshaconclude kwamba yeye si upinzani na kwasababu pia chama chake hakina hata mbunge,then why worry? Tena ukizingatia kuwa issue yenyewe ni ccm vs ccm?Kinachotakiwa kwa upinzani ni kuonyesha ni kwa vipi wao ni mbadala na si kuangalia Mrema kasema nini unless he's really not politically dead kama mnavyodai.

Ukichunguza kwa makini whts worrysome to most of his advessaries on my opinion,its what he actually said,rather than his political status on the public eye,sasa mna counter argue kwa personal issue and mudslings,that will never work because hapa JF facts ndizo zinajadiliwa mkuu,dont forget that.

Mkuu,

Si ndiyo hivyo facts zimejadiliwa hapa JF?

Upinzani unaoongelea ni upi?Hebu nijibu kwanza umemhusisha na Mrema ndani yake?

Halafu mkuu kwa maoni yako unaona still mrema ni relevant huko opposition camp maanake so far umejadili kwamba upinzani unatakiwa kuonyesha ni kwa vipi wao ni mbadala.Huoni katika harakati hizo za kuonyesha upinzani ni mbadala,still watu kama akina Mrema wana-betray legacy opposition camp?

Nadhani unazi wa kisiasa unazidi kuturudisha nyuma kifikra.Hatutoi mawazo yetu kulingana na hali ya mambo no wonder hata sasa still kuna watu wanipenda CCM kwa kuwa alikuwepo Nyerere!
 
Kama umeshawahi kukutana live na huyu mzee na walau kumsikia maneno mawili matatu ndo utajuwa kuwa anahitaji msaada wa kupewa shrink jamaa ni depressed ile mbaya yaani!
 
Back
Top Bottom