Maluweluwe ya vidonge vya ARV yanatokana na nini?

Mkuu hii tunasema huwa ni side effect za hizo dawa,ni dawa ambazo ziko katika mchanganyiko TLE(Tenofovir,Lamivudine,Efavirenz) hiyo Efavirenz ndio hupeleka mtu kuota ndoto mbaya na mara nyingi hudumu kwa week chache toka mtu aanze kuzitumia kama ikatokea mtu ameshindwa kabisa kuzioea hizo ndoto au ndoto kutuisha basi anaweza kubadilishiwa dawa
 
Nili
Sasa hivi nimeamua kutulia ,hizi unakula usiku nilishapewa pep bbaada ya condomu kupasuka,Kwa kifupi nsiwezi kutembea na mwanamke hovyo haya madawa ni balaa
 
Huyo mdada tangu siku hiyo sikuwahi kumuona japo nilimuelewa saana! Na haina maana alikuwa mwathirika kwasababu mimi sikupima ila nilichukua tahadhari isije ikawa! Maeneo husika ni ya kweli ili kama huyu binti yuko humu aje pm tukacheke!
Umeacha bonge la gap kwenye story yako kuna kipande umekiruka vipi umeukwaa au ndio namna gani vipi fresh ndio vile umeme ushawaka
 
Nili

Sasa hivi nimeamua kutulia ,hizi unakula usiku nilishapewa pep bbaada ya condomu kupasuka,Kwa kifupi nsiwezi kutembea na mwanamke hovyo haya madawa ni balaa
Bado umetuacha na viulizo hapo ilikuaje na wewe mboni unatunyima story yako ulipiga peku mitaa ipi na ilikuaje ukacheza peku bila viatu?
 
Hizo ni PEP si ARV
 
I see? Ndo kusema zinaingiliana na mawasiliano ya ubongo na akili na ufahamu ammmaah vipi?
 
Usisahau umesema hakumlipa maana yake anatambua alikua amenunua Malaya,
Mahudhui ya hii story ni kuhusu side effects za ARV! Haya mambo ya sijui malaya sijui nini unayajua wewe! Hata hivyo siku hizi utatambuaje malaya na asiye malaya! Mkeo hapo nyumbani ni malaya wa kutupwa! Shika simu yake hutoamini!
 
Mkuu wewe uliokota Malaya kataa kubari hivyo ndivyo ilivyo alafu vipi ulipima ngwengwe ukagundua kwamba umeshaungua? Ulipima ngwengwe?
 
Kama akitumia bajaji kwenda eneo la tukio basi ni wa juzi
 
Umeacha bonge la gap kwenye story yako kuna kipande umekiruka vipi umeukwaa au ndio namna gani vipi fresh ndio vile umeme ushawaka
Nimeishasema! Kusudi la huu uzi ni madhara ya ARV! Nilimeza nikamaliza hizo siku 30 nikapima hospitali zaidi ya 10 niko fresh! Hata hivyo kuanza kwangu ARV ni kwasababu ya woga sikupima kabla kama nimeambukizwa au la! Niliwahi hayo masaa 72!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…