Mama 2021 Maua mazuri sasa 2026 yamekauka

Mama 2021 Maua mazuri sasa 2026 yamekauka

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Kwa wanaopenda Tanzania tuko katika wakati mgumu sana kama nchi . Washauri wabaya na uvivu na kujiachia kizanzibari sasa Mama ambaye alikuwa maua yenye harufu nzuri 2021-2022 sasa maua yamekufa kabisa ni lazima yaote upya au tuoteshe mengine. Haya maua ni too late sasa
 
Mwanadamu hana dhamana kabisa , leo hii yule tulie muita mponyaji wa taifa ndie kawa maumivu ya taifa kuliko wengine wote.


Ama hakika Magufuli hakuwa mtu mbaya waka kiongozi mbaya.
 
Kwa wanaopenda Tanzania tuko katika wakati mgumu sana kama nchi . Washauri wabaya na uvivu na kujiachia kizanzibari sasa Mama ambaye alikuwa maua yenye harufu nzuri 2021-2022 sasa maua yamekufa kabisa ni lazima yaote upya au tuoteshe mengine. Haya maua ni too late sasa
nonsense 🐒
 
Screenshot_20260521-232106.png
 
Kiukweli kuna tofauti kubwa sana. Yaani mfanano wake hauna tofauti na huu wa Malaika vs Shetani aka Ibilisi aka Izraeli mtoa rohi za watu.
 
Back
Top Bottom