GRAMAA
JF-Expert Member
- Nov 1, 2014
- 1,241
- 3,800
Nimeumia sana mpaka nahisi kuchanganyikiwa. Kweli naamini mapenzi yanauwa. Ninahitaji msaada mkubwa sana vinginevyo ninaweza kufanya tukio kubwa na la kushangaza sana.
Yaani hata talaka haijamaliza wiki na bado sijasahau maumivu ya kupenda, yeye unakuja kupanga Apartment na bwàna yake jirani yangu! Wanajamvi nimeumizwa sana na ninahisi kufanya tukio baya sana.
========
Pia soma: Nasikitika kusema, baada ya miaka 13 kwenye ndoa leo mimi na mke wangu tumetalakiana