JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Tafuta chombo kingine weka ndani,Nimeumia sana mpaka nahisi kuchanganyikiwa.
Kweli naamini mapenzi yanauwa.
Ninahitaji msaada mkubwa sana vinginevyo ninaweza kufanya tukio kubwa na la kushangaza sana.
Yaani hata talaka haijamaliza wiki na bado sijasahau maumivu ya kupenda, yeye unakuja kupanga Apartment na bwàna ake jilani yangu!
Wanajamvi nimeumizwa sana na ninahisi kufanya tukio baya sana.
Usihame eneo,endelea kuishi kama kawaida,kama una watoto,hapo itakuwa shida,wanaweza wakitaka wakamuone mama yao kwa baba mwingine,utawakataza?