Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Mama Aggy anakula tu maraha.... inatakiwa mida ya "ndoa" awe analia kwa kelele hadi usikie...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].....ila wewe chizi kabisaMama Aggy anakula tu maraha.... inatakiwa mida ya "ndoa" awe analia kwa kelele hadi usikie...
Sahihi, muda unaponya.Time heals everything...
Kuna siku utamtazama na kumuonea huruma
🤣🤣 Nimecheka kifalaKwani Mama Agnes ni mwana chama wa Chama Cha Mapinduzi?
Mi naona ahame tu maana hata akioa mke mwingine huyo jamaa atamgongea tu na huyo mke Mpya, maana ashausoma udhaifu Wa baba Agness.Tafuta chombo kingine weka ndani,
Usihame eneo,endelea kuishi kama kawaida,kama una watoto,hapo itakuwa shida,wanaweza wakitaka wakamuone mama yao kwa baba mwingine,utawakataza?
Sio kweli hata kidogoDawa ya mwanamke ni mwanamke mwenzake..
Kufanya maamuzi ya asila na kukomoa mwisho wa siku unaweza jikuta ww ndio unaedhurika kwa maamuzi yakoDawa ya mwanamke ni mwanamke mwenzake..
Achana nae mzee.Nimeumia sana mpaka nahisi kuchanganyikiwa. Kweli naamini mapenzi yanauwa. Ninahitaji msaada mkubwa sana vinginevyo ninaweza kufanya tukio kubwa na la kushangaza sana.
Yaani hata talaka haijamaliza wiki na bado sijasahau maumivu ya kupenda, yeye unakuja kupanga Apartment na bwàna yake jirani yangu! Wanajamvi nimeumizwa sana na ninahisi kufanya tukio baya sana.
========
Pia soma: Nasikitika kusema, baada ya miaka 13 kwenye ndoa leo mimi na mke wangu tumetalakiana
Hapana. Agness ni Kamanda!Kwani Mama Agnes ni mwana chama wa Chama Cha Mapinduzi?
Huenda mke alizingua.Anyways,Ww ulimfanyia nn had mkapeana talaka? Ulichokifanya had akaomba talaka ndicho hicho hicho kilichompeleka kwa mwenzako. Ww hapo vumilia tu