JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Tafuta chombo kingine weka ndani,Nimeumia sana mpaka nahisi kuchanganyikiwa.
Kweli naamini mapenzi yanauwa.
Ninahitaji msaada mkubwa sana vinginevyo ninaweza kufanya tukio kubwa na la kushangaza sana.
Yaani hata talaka haijamaliza wiki na bado sijasahau maumivu ya kupenda, yeye unakuja kupanga Apartment na bwàna ake jilani yangu!
Wanajamvi nimeumizwa sana na ninahisi kufanya tukio baya sana.
Dawa ya mwanamke ni mwanamke mwenzake..Nimeumia sana mpaka nahisi kuchanganyikiwa.
Kweli naamini mapenzi yanauwa.
Na wewe tafuta wakoNimeumia sana mpaka nahisi kuchanganyikiwa. Kweli naamini mapenzi yanauwa. Ninahitaji msaada mkubwa sana vinginevyo ninaweza kufanya tukio kubwa na la kushangaza sana.
Yaani hata talaka haijamaliza wiki na bado sijasahau maumivu ya kupenda, yeye unakuja kupanga Apartment na bwàna yake jirani yangu! Wanajamvi nimeumizwa sana na ninahisi kufanya tukio baya sana.
========
Pia soma: Nasikitika kusema, baada ya miaka 13 kwenye ndoa leo mimi na mke wangu tumetalakiana
"Amepanga apartment na Bwana yake jirani yako"Nimeumia sana mpaka nahisi kuchanganyikiwa. Kweli naamini mapenzi yanauwa. Ninahitaji msaada mkubwa sana vinginevyo ninaweza kufanya tukio kubwa na la kushangaza sana.
Yaani hata talaka haijamaliza wiki na bado sijasahau maumivu ya kupenda, yeye unakuja kupanga Apartment na bwàna yake jirani yangu! Wanajamvi nimeumizwa sana na ninahisi kufanya tukio baya sana.
========
Pia soma: Nasikitika kusema, baada ya miaka 13 kwenye ndoa leo mimi na mke wangu tumetalakiana
ChaiNimeumia sana mpaka nahisi kuchanganyikiwa. Kweli naamini mapenzi yanauwa. Ninahitaji msaada mkubwa sana vinginevyo ninaweza kufanya tukio kubwa na la kushangaza sana.
Yaani hata talaka haijamaliza wiki na bado sijasahau maumivu ya kupenda, yeye unakuja kupanga Apartment na bwàna yake jirani yangu! Wanajamvi nimeumizwa sana na ninahisi kufanya tukio baya sana.
========
Pia soma: Nasikitika kusema, baada ya miaka 13 kwenye ndoa leo mimi na mke wangu tumetalakiana
Mtumie hii text
" Moyo ulikuwa unaniuma sana na nilikuwa nashindwa kupata furaha mana nilkuwa naona kama nimefanya kosa kubwa sana apa duniani, lakini sasahivi moyo umekuwa mweupe na kuona jambo nilofanya ni sahihi kabisa na nilikuwa nakosea kuishi na ww, Tabia haijifichi"
Muone jinsi atavyo pepesuka
Maana ya yeye kukaa apo ni kukufanya uumie kwa wivu, ukimtumia hyo text ye ndo ataona mwenye kosa na atamchukia huyo jamaa yke ghafla na kukuona we ni jasiri, atajaribu kikukumbushia uliyokosea apo nyuma ila usimjibu
Hatujawahi kushindwa, Ada tutakosa ila pesa ya kumsaidia Msela au kumtetea mbele ya Shemeji hatujawahi kushindwa.Sasa wewe vuta Dada ake au mdogo au rafiki yake sanaaaaaaa kwa gharama yeyote ukishindwa tunakuchangia hela
Unaumizwa na nini sasa wakati huyo sio wako tena,kuna kitu unakiwazia wewe ambacho ndio kinakuuma,ni mambo ya ndani,unawazia huyo jamaa yake naye anapata kama ulivyokuwa unapata wewe,mi sijui ni nini ila wewe mwenyewe unakijua,halafu unataka eti uchukuwe maamuzi magumu huku ukisahau kuwa talaka umetoa mwenyewe...Nimeumia sana mpaka nahisi kuchanganyikiwa. Kweli naamini mapenzi yanauwa. Ninahitaji msaada mkubwa sana vinginevyo ninaweza kufanya tukio kubwa na la kushangaza sana.
Yaani hata talaka haijamaliza wiki na bado sijasahau maumivu ya kupenda, yeye unakuja kupanga Apartment na bwàna yake jirani yangu! Wanajamvi nimeumizwa sana na ninahisi kufanya tukio baya sana.
========
Pia soma: Nasikitika kusema, baada ya miaka 13 kwenye ndoa leo mimi na mke wangu tumetalakiana
Amekujyoosha,ulimpenda ni mama yako huyo? Fanya tuu tukio unasubilia nini sasaNimeumia sana mpaka nahisi kuchanganyikiwa. Kweli naamini mapenzi yanauwa. Ninahitaji msaada mkubwa sana vinginevyo ninaweza kufanya tukio kubwa na la kushangaza sana.
Yaani hata talaka haijamaliza wiki na bado sijasahau maumivu ya kupenda, yeye unakuja kupanga Apartment na bwàna yake jirani yangu! Wanajamvi nimeumizwa sana na ninahisi kufanya tukio baya sana.
========
Pia soma: Nasikitika kusema, baada ya miaka 13 kwenye ndoa leo mimi na mke wangu tumetalakiana
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] usisahau kuleta mrejesho...kujiua kisa mwanamke Ni upumbavu mkubwa sanaNimeumia sana mpaka nahisi kuchanganyikiwa. Kweli naamini mapenzi yanauwa. Ninahitaji msaada mkubwa sana vinginevyo ninaweza kufanya tukio kubwa na la kushangaza sana.
Yaani hata talaka haijamaliza wiki na bado sijasahau maumivu ya kupenda, yeye unakuja kupanga Apartment na bwàna yake jirani yangu! Wanajamvi nimeumizwa sana na ninahisi kufanya tukio baya sana.
========
Pia soma: Nasikitika kusema, baada ya miaka 13 kwenye ndoa leo mimi na mke wangu tumetalakiana
watoto vipi umebaki nao?Nimeumia sana mpaka nahisi kuchanganyikiwa. Kweli naamini mapenzi yanauwa. Ninahitaji msaada mkubwa sana vinginevyo ninaweza kufanya tukio kubwa na la kushangaza sana.