Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Umesoma uzi wake ulopita??? Mind games unazijibu na mind games, otherwise ataona limempata, insue ni kumfanya achukie na uamuz wake, wanawake hawana soko, sie wanaume ndo tunasokoKuanza kumtumia hio text ni kuonesha hinsi gani upo insecure na unaumia.
Mwanaume wa kweli unapiga kimya tu, hata ukimuona kama vile haujamuona! unasaka pesa maisha yanaenda
HeyWaache waoañe
Kamati ya malipizi 🤣🤣🤣Sasa wewe vuta Dada ake au mdogo au rafiki yake sanaaaaaaa kwa gharama yeyote ukishindwa tunakuchangia hela
Mungu amekuepusha na makubwa. Inaonekana hakuwa mwaminifu kwako. Amekuja kukuumiza. Achana na mambo yake na songa mbele na maisha.Nimeumia sana mpaka nahisi kuchanganyikiwa. Kweli naamini mapenzi yanauwa. Ninahitaji msaada mkubwa sana vinginevyo ninaweza kufanya tukio kubwa na la kushangaza sana.
Yaani hata talaka haijamaliza wiki na bado sijasahau maumivu ya kupenda, yeye unakuja kupanga Apartment na bwàna yake jirani yangu! Wanajamvi nimeumizwa sana na ninahisi kufanya tukio baya sana.
========
Pia soma: Nasikitika kusema, baada ya miaka 13 kwenye ndoa leo mimi na mke wangu tumetalakiana
Aisee we jamaa pole niliona uzi wako tena nikakupongeza nikakuambia mbona mmekaa sana miaka 13 si haba we hama hapo maisha yaendeleeNimeumia sana mpaka nahisi kuchanganyikiwa. Kweli naamini mapenzi yanauwa. Ninahitaji msaada mkubwa sana vinginevyo ninaweza kufanya tukio kubwa na la kushangaza sana.
Yaani hata talaka haijamaliza wiki na bado sijasahau maumivu ya kupenda, yeye unakuja kupanga Apartment na bwàna yake jirani yangu! Wanajamvi nimeumizwa sana na ninahisi kufanya tukio baya sana.
========
Pia soma: Nasikitika kusema, baada ya miaka 13 kwenye ndoa leo mimi na mke wangu tumetalakiana
Kafanya makusudi ili akuumizeNimeumia sana mpaka nahisi kuchanganyikiwa. Kweli naamini mapenzi yanauwa. Ninahitaji msaada mkubwa sana vinginevyo ninaweza kufanya tukio kubwa na la kushangaza sana.
Yaani hata talaka haijamaliza wiki na bado sijasahau maumivu ya kupenda, yeye unakuja kupanga Apartment na bwàna yake jirani yangu! Wanajamvi nimeumizwa sana na ninahisi kufanya tukio baya sana.
========
Pia soma: Nasikitika kusema, baada ya miaka 13 kwenye ndoa leo mimi na mke wangu tumetalakiana
Jifunze kukubali na mwache aende, yanini utafute matatizo yasiyo ya lazima? Mpotezee acha ajifanye anakukomoa, badae atakuja kujua kuwa hajui.Nimeumia sana mpaka nahisi kuchanganyikiwa. Kweli naamini mapenzi yanauwa. Ninahitaji msaada mkubwa sana vinginevyo ninaweza kufanya tukio kubwa na la kushangaza sana.