Mama Agness nimempa talaka juzi tu leo kaja kuishi jirani yangu na mwanaume mwingine!

Mama Aggy anakula tu maraha.... inatakiwa mida ya "ndoa" awe analia kwa kelele hadi usikie...
 
KUNA MAWILI HAPA, NAWE TONGOZA MAMA WA MWANAMKE AU MAMA WA MWANAUME. WAWE WATOTO WAKO WA KUFIKIA
 
Some human beings really suprise me with thir inability to think in a proper manner, kwani ni yeye mwanamke pekee hii dunia, je si hata pengine ukimupata alikuwa sio bikira, yaani mwanaume wa bongo, wakati wengine tuna mikakati ya kweda safari ya utalii sayari zingine, tunafikilia jinsi ya kuzuia more damage as a result of climate change, on how to feed the world population which will soon clock 9 billion, you are here with a tiny and i dont know what issue, mimi niachana na a lady thats all, hata nimukute anapewa kiss, au ako uchi mume juu yake i dont care, so what, there are millions of cute very cute girls more than her, stop being a slave to love pls, hope umenielewa
 
Hapo Amna kitu huyo mwanamke amekata tamaa kwaiyo anataka kuonyesha bado yumo ila kiukweli ameumia sana na hiyo talaka hiyo ni saikologia rahisi sana cha kufanya komaa na maisha yako usimfikirie. Kwani akipigwa miti wewe unaumia wapi
 
Tafuta chombo kingine weka ndani,
Usihame eneo,endelea kuishi kama kawaida,kama una watoto,hapo itakuwa shida,wanaweza wakitaka wakamuone mama yao kwa baba mwingine,utawakataza?
Mi naona ahame tu maana hata akioa mke mwingine huyo jamaa atamgongea tu na huyo mke Mpya, maana ashausoma udhaifu Wa baba Agness.
 
[emoji445] mwombee adui yako aishi siku nyingi ili unapobarikiwa ajionee kwa macho [emoji445]
 
Hehehehe...huyo mwanamke anakupeleka tunaita kimbwa kimbwa[emoji16][emoji16][emoji16]

Hahaaa
 
Achana nae mzee.
Usije ukafuungwa kwasababu ya mpumbavu
 
Mkuu acha unaa... Mke umemuacha sasa hasira nini? Utakuja ufie Jela...

Hapo ukimgusa au kumuuliza chochote bwana ake anaweza kukupaka mafuta coz huyo sio tena mkeo...

Chunga sana,,, Jutia kimya kimya huku ukiendelea na maisha yako
 
Ww ulimfanyia nn had mkapeana talaka? Ulichokifanya had akaomba talaka ndicho hicho hicho kilichompeleka kwa mwenzako. Ww hapo vumilia tu
Huenda mke alizingua.Anyways,
Mwanamke simlaumu maana sijui akili zake zimefanyaje kazi, ila huyo mwanaume aliyekubali kuja kupanga jirani na xwife wa mwenzake akili hana. Unless hajui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…