JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,850
Huo ni ufala ambao sisi wanaume hatutakiwi kuuendekeza kisa chupi.Mkuu acha unaa... Mke umemuacha sasa hasira nini? Utakuja ufie Jela...
Hapo ukimgusa au kumuuliza chochote bwana ake anaweza kukupaka mafuta coz huyo sio tena mkeo...
Chunga sana,,, Jutia kimya kimya huku ukiendelea na maisha yako
Usimjibu hivi haya maumivu sio ya kawaidaHama na wewe.
Nimeumia sana mpaka nahisi kuchanganyikiwa. Kweli naamini mapenzi yanauwa. Ninahitaji msaada mkubwa sana vinginevyo ninaweza kufanya tukio kubwa na la kushangaza sana.
Yaani hata talaka haijamaliza wiki na bado sijasahau maumivu ya kupenda, yeye unakuja kupanga Apartment na bwàna yake jirani yangu! Wanajamvi nimeumizwa sana na ninahisi kufanya tukio baya sana.
========
Pia soma: Nasikitika kusema, baada ya miaka 13 kwenye ndoa leo mimi na mke wangu tumetalakiana
Si lazima kila ukipendacho kikupende.Kwanini mnawaacha watu mnaowapenda