AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
DuuuuhUkiwapata hao huna haja teeena ya kuongeza.
Ni kweli mkuu.Wakuu,
Nimeisikia hii taarifa kwamba kuna mama kajifungua watoto mapacha watano hospitali ya Taifa Muhimbili.
Duuuh umesemaa?hongera yake mumewe na huyo mama kwa kubarikiwa magic dick
Ni kweeli mkuu.Ni kweli mkuu.
Sio drama ni kweli mkuu.Hatutaki drama za kiboya
Uko wetu kuna kina DoyiAisee mwenyewe ningepata kama hao ndio byebye🥰
Wasukuma na doi hata kama sio pacha yeye ni kuitwa tu dohyyii😁Uko wetu kuna kina Doyi
Byebye kufanyaje?Aisee mwenyewe ningepata kama hao ndio byebye🥰
HaaaaaaahWasukuma na doi hata kama sio pacha yeye ni kuotwa tu dohyyii😁
kunyaByebye kufanyaje?
Be serious basi yaan wewe unaandikaje hivyo hapo unachafua uzikunya
Ila kuwalea mpaka wote wakakuwa vyema ni shughuli pevu, Mungu awasaidieUkiwapata hao huna haja teeena ya kuongeza.
Kuna jamaa yangu ye aliishia la 7 mke wake kamzalisha nzalio 3 za mapachaWasukuma na doi hata kama sio pacha yeye ni kuotwa tu dohyyii😁
Pelekeni BBC na itatlendiSio drama ni kweli mkuu.