Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 11,047
- 16,378
Kama ukiwa na mtoto mmoja dada mmoja huoni hiyo ratio inaenda hivyo. Mama anapaswa kupumzika ss maana lasivyo atadata.Kama mama hana shughuli ya kumtoa nje ya nyumba wasaidizi wanne tu wanatosha.
Maziwa pia yatagharimu kiasi fulani si haba, maana kwa mama watakuwa wananyonya kidogo sana (Ni kama kila mtoto atakuwa anaonja kidogo ladha ya maziwa ya mama😁).
Hapo baba lazima achangamshe akili.