Mama ajifungua Watoto Mapacha Watano Hospitali ya Taifa Muhimbili

Mama ajifungua Watoto Mapacha Watano Hospitali ya Taifa Muhimbili

Hapo lazama msaada kidogo uhusike. Hasa upande wa dada wa kazi maana wataitajika watano. Maziwa na mengine siyo ishu saana
Kama mama hana shughuli ya kumtoa nje ya nyumba wasaidizi wanne tu wanatosha.

Maziwa pia yatagharimu kiasi fulani si haba, maana kwa mama watakuwa wananyonya kidogo sana (Ni kama kila mtoto atakuwa anaonja kidogo ladha ya maziwa ya mama😁).
Hapo baba lazima achangamshe akili.
 
Back
Top Bottom