Mama aliyejifungua anaweza fanya Mapenzi?

Osmokalu

Senior Member
Joined
Nov 13, 2015
Posts
186
Reaction score
148
Naomba kuwauliza,Hivi mwanamke aliyejifungua Kwa operation na amesha maliza arobaini(40) akifanya mapenzi anaweza kupata Mumbai kwa siku hizo za karibuni?
 
Naomba kuwauliza,Hivi mwanamke aliyejifungua Kwa operation na amesha maliza arobaini(40) akifanya mapenzi anaweza kupata Mumbai kwa siku hizo za karibuni?
Tumia kondom kila mtu na mfumo wake .. Tumetofautiana
 
Asante Dr Je Anatakiwa kukaa siku ngapi ili afanye mapenzi kutokana na operation aliyo fanyiwa?
Sina udokta wowote mkuu! Nimesikia tu kesi ya mmama kupata mimba wakati ana kichanga cha miezi miwili...

Angalia hali ya mzazi, afya ni muhimu zaidi...
 
Mingi sana mkuu kama mpo kitanda kimoja daily unamuangalia istoshe ukikumbuka raha alizokua anakupa[emoji3] [emoji3] [emoji3] hata ye mwenyewe atakuonea huruma lazma
Umeonaee
 
Jamani watu mnapenda sn kukazana yani unashindwa kumpa mwenzio hata miezi 3
mkuu kama huna michepuko kumbuka alikuwa na siku 280 bila kukazana kwa raha, mara maji ukeni yamepungua, mara anaambiwa unanuka kijasho fulani hivi wakati umetoka kuoga, mara style hii utamuumiza mtoto, mara hukojoi mie nahisi unagonga kichwa cha mtoto, mara dokta kaniambia nipumzike, mara maziwa na matako yanauma usiyaguse naumia sana.. hahahhahahaha plus 40 days zinakuwa 320 si kitu rahisi.

ushauri wangu, angalia afya ya mama na mtoto, mgongano unaanza taratibu taratibu ila unatakiwa uvumilie sana maana watoto wachanga ukiweka kichwa tu anageuka au anaguna mama kashabadilisha mawazo utasikia baadaye tutafanya mume wangu eee.. hiyo ndo wiki ijayo.. maana baadaye mara wageni, mara kitoto kinalia tu, bhaaa!!

Malezi mema na itunze ndoa yako mkuu..
 
A
Siku 40 kwa kujifungua kawaida
Miezi 4-6 kwa operation.

Mama anyonyeshae hawezi pata mimba ndani ya miezi 6 labda awe abnormal...
napata vizuri sana tu. wanawakwe hawafanani, mwingine akikaa mwezi tu baada ya kujifungua anarudi katika mzunguko wake wa mwezi kama kawaida. sasa hapo unategemea nini kama siyo mimba. Mwingine hadi aache kunyonyesha ndo anarudi katika mzunguko. Kuchukua tahadhari ni muhimu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…