Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumia kondom kila mtu na mfumo wake .. TumetofautianaNaomba kuwauliza,Hivi mwanamke aliyejifungua Kwa operation na amesha maliza arobaini(40) akifanya mapenzi anaweza kupata Mumbai kwa siku hizo za karibuni?
Sina udokta wowote mkuu! Nimesikia tu kesi ya mmama kupata mimba wakati ana kichanga cha miezi miwili...Asante Dr Je Anatakiwa kukaa siku ngapi ili afanye mapenzi kutokana na operation aliyo fanyiwa?
Miezi 6Asante Dr Je Anatakiwa kukaa siku ngapi ili afanye mapenzi kutokana na operation aliyo fanyiwa?
Mingi sana mkuu kama mpo kitanda kimoja daily unamuangalia istoshe ukikumbuka raha alizokua anakupa[emoji3] [emoji3] [emoji3] hata ye mwenyewe atakuonea huruma lazmaJamani watu mnapenda sn kukazana yani unashindwa kumpa mwenzio hata miezi 3
Wewe kaa miaka miwili [emoji13] [emoji13]Nashkuru mamylove,na Mimi je nitakaa miezi 6 nikifanyiwa operationi ya henia
mkuu kama huna michepuko kumbuka alikuwa na siku 280 bila kukazana kwa raha, mara maji ukeni yamepungua, mara anaambiwa unanuka kijasho fulani hivi wakati umetoka kuoga, mara style hii utamuumiza mtoto, mara hukojoi mie nahisi unagonga kichwa cha mtoto, mara dokta kaniambia nipumzike, mara maziwa na matako yanauma usiyaguse naumia sana.. hahahhahahaha plus 40 days zinakuwa 320 si kitu rahisi.Jamani watu mnapenda sn kukazana yani unashindwa kumpa mwenzio hata miezi 3
Miezi mi 3 ? Labda uwe unakunywa mafuta ya taaJamani watu mnapenda sn kukazana yani unashindwa kumpa mwenzio hata miezi 3
napata vizuri sana tu. wanawakwe hawafanani, mwingine akikaa mwezi tu baada ya kujifungua anarudi katika mzunguko wake wa mwezi kama kawaida. sasa hapo unategemea nini kama siyo mimba. Mwingine hadi aache kunyonyesha ndo anarudi katika mzunguko. Kuchukua tahadhari ni muhimu sana.Siku 40 kwa kujifungua kawaida
Miezi 4-6 kwa operation.
Mama anyonyeshae hawezi pata mimba ndani ya miezi 6 labda awe abnormal...
Unampoteza mwenzio!Siku 40 kwa kujifungua kawaida
Miezi 4-6 kwa operation.
Mama anyonyeshae hawezi pata mimba ndani ya miezi 6 labda awe abnormal...
Anatafuta ticket ya kutafuta mchepukoAcgeni uroho
Hebi subiri
40 tu
Unataka kumfumua mshono???
Nipe experience yako...Unampoteza mwenzio!