Mama aliyejifungua anaweza fanya Mapenzi?

Baada ya siku 42.
Duh! Hiyo miez 3 yote ya nini?!
Zingatia njia za uzazi wa mpango pia.
 
Kwa afya bora ya mtoto na mama miezi 6 itapendeza kama alizaa Kwa operation. Ila kama kawaida miezi 3-4 si mbaya.
 
Jamani watu mnapenda sn kukazana yani unashindwa kumpa mwenzio hata miezi 3
Mmmhh mkuu embu muogope faru john bana hawezi vumilia Siku tisini nyingi bana[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
nimecheka..haaa
 
Kuna kabila moja kanda ya ziwa ni mila kabisa hiyo. Mtoto akizaliwa lazima baba aje ampandishe mama kitandani kutoka chini alipojifungulia kwa tendo hilo sasa wale watoto wa nje ya ndoa wasiokuwa na baba rasmi wa kuja kumpandisha mama kitandani huzaraulika na kataniwa kuwa ni watoto walioliwa na sisimizi chini baada ya kukosa wa kuwapandisha kitandani ( "OMWANA E' BISIS")
 
hawezi kupata Mumbai abadani labda vitu vingine
 
Naomba kuwauliza,Hivi mwanamke aliyejifungua Kwa operation na amesha maliza arobaini(40) akifanya mapenzi anaweza kupata Mumbai kwa siku hizo za karibuni?
Yes. Kila mwanamke ana maumbile yake na kuna sababu nyingi sana juu ya hilo. Embu chungulia google......utapata material nyingi sana juu ya hilo
 
Khaaa vijana nimewanyooshea mikono
Kwan ushauri Wa daktari unasemaje
 
Ikiwa ananyonyesha vizuri piga tu haingii kitu
 
Naomba kuwauliza,Hivi mwanamke aliyejifungua Kwa operation na amesha maliza arobaini(40) akifanya mapenzi anaweza kupata Mumbai kwa siku hizo za karibuni?
Hahahah....mkuu punguza wenge unaona sasa badala ya kuandika mimba unaandika Mumbai (kama sijakosea sasa wewe umehamia india ghafla)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…