1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
YaaaaaanMimi nikiwa na girl friend yeyote anayemuona au kusikia tu; haulizi hata sifa za mimi kumpenda!
Utasikia tu "Ni wa kabila gani? ".
Na Udini piaNyerere alikataza ukabila
Ameongea kiutani huku anacheka lakini naona huu ujumbe amenifikishia mm indirect,,
WAKUU HAPA MLITOKAJE?
Wazee wetu huwa wanakosea sanaKama hayo makabila hashauri watu kuoa, Je hayo makabila yanaoana na wanyama au majini?
Hongera mkuuInaonekana wazee wangu walimpenda Mgogo!
Nyerere alikataza ukabila
Ukitaka nikudharau na kukushusha heshima ni ulize haya maswaliNa Udini pia
WalidondokaTabia za watu wachache wadogo kwanini
Watwishe Mzigo kabila zima kua wako hivo.
hapa wahenga waliteleza
[emoji23][emoji23][emoji23]ko likichwa likubwa hivyo hichi ndo ulichokiwaza jitahidi kufikiria kwakutumia ubongo sio matako
Mkuu nimekuelewa sanaUkitaka nikudharau na kukushusha heshima ni ulize haya maswali
[emoji23][emoji23][emoji23]ko likichwa likubwa hivyo hichi ndo ulichokiwaza jitahidi kufikiria kwakutumia ubongo sio matako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nikiwa na girl friend yeyote anayemuona au kusikia tu; haulizi hata sifa za mimi kumpenda!
Utasikia tu "Ni wa kabila gani? ".
Ko wee kinakuuma nini unaniungia bando ,wee mpuuzi sana acha umbea usio Na maana muone meno kule kama kinyesi cha walevi Fanya kinachokuhusu acha kupaparika nakuwashwa washwa kama umepigwa goli la chiniNimejitahidi kumind my business ila umezidi mkuu