Mama ametaja Makabila ambayo hashauri watu kuoa

Mama ametaja Makabila ambayo hashauri watu kuoa

1kush africa

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2016
Posts
9,552
Reaction score
13,090
Ameongea kiutani huku anacheka lakini naona huu ujumbe amenifikishia mm indirect,,

WAKUU HAPA MLITOKAJE?
 
Nimejitahidi kumind my business ila umezidi mkuu
Ko wee kinakuuma nini unaniungia bando ,wee mpuuzi sana acha umbea usio Na maana muone meno kule kama kinyesi cha walevi Fanya kinachokuhusu acha kupaparika nakuwashwa washwa kama umepigwa goli la chini
 
Back
Top Bottom