Mama ametaja Makabila ambayo hashauri watu kuoa

Ko wee kinakuuma nini unaniungia bando ,wee mpuuzi sana acha umbea usio Na maana muone meno kule kama kinyesi cha walevi Fanya kinachokuhusu acha kupaparika nakuwashwa washwa kama umepigwa goli la chini
acha uanamke wewe kangaroo
 
Hakuna tusi sipendi kama kunitukana nakazwa asee naweza nikakutukana mpaka nipewe ban ya milele hauwezi kunifananisha Na MTU anaefanya chukizo mbele ya macho ya mungu Na binadamu wengine mkuu umenikosea sana napenda utani kila muda ila sii wanamna hii
unakazwa wewe uko nyuma
 
Ongea na Baba yako yeye angekataliwa kumuoa mama yako kisa kabila angefanya nini?
Dah... tukubali tukatae ...kabila na dini vitu vinavyoathiri maisha ya kila siku ya mwanadamu....hasa pale kunapokuwa mfumo mwingine wa kuelekeza au kutafsiri namna ya kusonga mbele kunapokuwa na mkwamo fulani kwenye jamii mfano ndoa, talaka, mazishi, kuzaliwa, jando na unyago nk.
Kuna dini zinaruhusu wake wengi na nyingine haziruhusu....Kuna makabila kufumaniwa ni sifa nzuri wengine ni sifa mbaya....
Kwa sababu hiyo ndiyo mifumo tunayoitumia kuishi na hivyo ilikupunguza migogoro isiyo ya lazima ni vizuri kuwa na mwenza mnaoendana kwa kabila lako na imani ya dini....
Kwetu sisi ...mwanaume ukikuta mkuki umechomekwa mbele ya mlango wa nyumba yako unajua kuna mwanaume mwingine ndani....unajiondokea kimyakimya unaenda kwa mke mwingine..na siyo kosa... Aspirin anaweza kufanya hivyo?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hawezi Asprin hajazoea kushare, sisi makabila yetu hakai mbali hatuna tatizo.
 
Mke mwema hutoka kwa Mungu sio wazazi wazazi kazi yao ni kukulea , kukupa elimu na kukuridhisha mali kama zipo , kama wazazi wako wanakuekea mtego wa kuuoa wanatemtaka kwakigezo cha kukuridhisha mali au la , jipange maisha kivyako , ukimpata umpandaye washinikize wakuozeshe kwani kijana hiwezi kujiozesha bila ya wazazi , na kuamua kuishi kinyemela sikushauri mkipata ajira makazini kuna mafao mengi mnaweza kukosa kwa kusosa uhahali wa kuishi pamoja
 
Baba yetu Mkubwa alikua hataki mtu aoelewe / aoe askari yaani utapewa darasa hilo mwenyewe unavunja mahusiano, sijui walimfanya kitu gani.

Mpaka sasa sijaona kwenye ukoo alie olewa au kuoa askari.
Yaaaan
 
Mke mwema hutoka kwa Mungu sio wazazi wazazi kazi yao ni kukulea , kukupa elimu na kukuridhisha mali kama zipo , kama wazazi wako wanakuekea mtego wa kuuoa wanatemtaka kwakigezo cha kukuridhisha mali au la , jipange maisha kivyako , ukimpata umpandaye washinikize wakuozeshe kwani kijana hiwezi kujiozesha bila ya wazazi , na kuamua kuishi kinyemela sikushauri mkipata ajira makazini kuna mafao mengi mnaweza kukosa kwa kusosa uhahali wa kuishi pamoja
Usemalo sawa ila sasa wazazi dah
 
Dah... tukubali tukatae ...kabila na dini vitu vinavyoathiri maisha ya kila siku ya mwanadamu....hasa pale kunapokuwa mfumo mwingine wa kuelekeza au kutafsiri namna ya kusonga mbele kunapokuwa na mkwamo fulani kwenye jamii mfano ndoa, talaka, mazishi, kuzaliwa, jando na unyago nk.
Kuna dini zinaruhusu wake wengi na nyingine haziruhusu....Kuna makabila kufumaniwa ni sifa nzuri wengine ni sifa mbaya....
Kwa sababu hiyo ndiyo mifumo tunayoitumia kuishi na hivyo ilikupunguza migogoro isiyo ya lazima ni vizuri kuwa na mwenza mnaoendana kwa kabila lako na imani ya dini....
Kwetu sisi ...mwanaume ukikuta mkuki umechomekwa mbele ya mlango wa nyumba yako unajua kuna mwanaume mwingine ndani....unajiondokea kimyakimya unaenda kwa mke mwingine..na siyo kosa... Aspirin anaweza kufanya hivyo?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimekuelewa mkuu
 
Back
Top Bottom