Mama amshauri mwanaye kuacha kazi kisa ndoa

Mama amshauri mwanaye kuacha kazi kisa ndoa

Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mama mzazi amemshauri binti yake kuacha kazi ili kumfuata nume wake ambaye amehamishwa kikazi kwenda mkoa mwingine.

Kituko hiki kilitokea mnamo mwaka jana baada ya mume huyo kuhamishwa kutoka mkoa wa nyanda za juu kusini keenda mkoa wa kanda ya ziwa. Mume alipopata uhamisho, mke wake mwenye mtoto mmoja, ,aliyeolewa yapata miaka 3 iliyopita, alijaribu kuomba uhamisho ili kumfuata mumewe lakini waajiri wake walionekana kuchelewesha uhamisho wake wakati yeye aliomba kumfuata mumewe haraka iwezekanavyo.

Alipoona uhamisho unachelewa alimuendea mama yake mzazi kumuomba ushauri nini afanye. Bila kumumunya maneno, mama yake alimshauri kuacha kazi mara moja. 'Mume wako yupo kanda ya ziwa, wewe upo kanda ya nyanda za juu, hapo hakuna ndoa. Kama uhamisho wako unachelewa, acha kazi mara moja umfuate mumewe; shauri yako!' Alisikika mama akimshauri mwanaye.

Bila kusita, binti aliandika barua ya kuacha kazi yake ya uhasibu (senior accountant (CPA) na kumfuata mume. Sasa hivi ninapoandika uzi huu, huyo mwanamke ni mama wa nyumbani na hana namna ya kuajiriwa tena kwani umri wake umesogea.

MAONI YANGU
Hivi akina mama kuna wakati wanafikiri kwa kutumia kiungo cha chini tu au ni namna gani wenzangu? Inakuwaje mama amshairi senior accountant kuacha kazi na yeye kweli anamsikiliza mama na kuacha kazi? Akina mama wamerogwa na nani hasa?

Huu ushauri ungetolewa kwa mwanaume nina hakika angeupuuzilia mbali. Kwa kuwa akina mama alkili zao zinaishia kwenye urefu wa pua zao, ndio maana wanaweza kushawishika kuacha kazi kwa sababu tu ya kufuata m.b00 ambayo hata ichepuke kiasi gani haiishi.

Je, ingekuwa wewe mwanaJF ndiye umepewa ushauri wa aina hii, ungemsikiliza mama yako au ungetupilia mbali ushauri wake?
Tatizo lako wewe una ufala mwingi. Familia ndiyo kila kitu.

Ukikosea kujenga familia unajimaliza wewe mwenyewe na kizazi chako.

Career ya mwanamke ndiyo sababu namba moja inayoharibu familia Duniani.

Ndiyo maana mama zetu wa nyumbani wameweza kulea maprofesa ila maprofesa wanazaa na kulea mateja.
 
You're so judgemental. Tushaujua upande wako unataka kusikia ya wengine ili nini?
Kazi na familia kipi cha kwanza? Kaa chini uwaze upya mkuu......
Ukikaa ndani na familia bila kufanya kazi upate pesa za kuitunza hiyo famila unaweza kugeuza mawe kuwa mkate mkuu? Anyway, sikushangai kwani nadhani wewe ni aina ya watu ambao ni wafuasi wa Mwamposa. Upo tayari kutoa hela zote sadaka ya kujimaliza umpe nabii wak9 halafu uanze upya. Umerogwa wewe sio bure.
 
Mkuu...naheshimu mawazo yako ila nataka ujiulize kitu kimoja; Familia ngapi za kiafrika kimjumuisho mbazo zimekuza watoto na sasa wanapata vipato vizuri vya kulea maisha yao na familia zao wakiwa wametokea kwenye baba ni mshugurikaji na mama ni mama wa nyumbani? Usisahau asili yako ya "Father is the head of the family"
Don't be carried away with westernization mkuu kwamba kila mtu aprovide equally. Kama knowledge uliyokuwa nayo umeipatia huko magaribi mwa dunia, sina haja ya kubadirishana mawazo na wewe ila kama wewe ni real African guy made up from african culture utakuwa umeelewa ninachosema kutokana na misingi ya kidini, kiutamaduni na familia yako walichotaka ukifanye.....
Asante sana mkuu
 
Mkuu unataka kuniaminisha kwamba mwanamke wa kiafrika kufanya kazi ni haramu? Kwamba yeye akae tu nyumbani agawe mbunye na kuzalishwa watoto awalee bila kufanya kazi?
 
Ukikaa ndani na familia bila kufanya kazi upate pesa za kuitunza hiyo famila unaweza kugeuza mawe kuwa mkate mkuu? Anyway, sikushangai kwani nadhani wewe ni aina ya watu ambao ni wafuasi wa Mwamposa. Upo tayari kutoa hela zote sadaka ya kujimaliza umpe nabii wak9 halafu uanze upya. Umerogwa wewe sio bure.
Ndg achaa kukariri maisha,usizani kila anae amka asubuhi na kwenda kutafuta siyo wote wanapata, na vilevile siku hizi kuna watu wao wanakaa ndani na bado wanatengeneza pesa ndefu kuliko hata hao unaozani wanakwenda kutafuta huko nje! Kila mtu na utafutaji wake,kuna wengine wao wamesha tengeneza mambomba ya fedha hadi vyumbani mwao ni mwendo wa kutiririka kama maji ya bomba, wwe endelea kuhangaika na maji ya kwenda kuchota kisimani na ka ndoo kako kamoja!!
 
Mkuu unataka kuniaminisha kwamba mwanamke wa kiafrika kufanya kazi ni haramu? Kwamba yeye akae tu nyumbani agawe mbunye na kuzalishwa watoto awalee bila kufanya kazi?
Haha sikumaanisha hivyo unavyotaka wengine tuamini. Hivi unajua unaweza usitoke nje ya nyumba yako na pesa ikawa inaingia kadri utakavyo?
 
Haha sikumaanisha hivyo unavyotaka wengine tuamini. Hivi unajua unaweza usitoke nje ya nyumba yako na pesa ikawa inaingia kadri utakavyo?
Nakubaliana nawe lakini kwa huyu mama aliyeacha kazi haingizi chochote zaidi ya kuingiza mb.00 ya mumewe kwenye papuchi yake.
 
Back
Top Bottom