Mama amshauri mwanaye kuacha kazi kisa ndoa

Kuna mwanamke Wa kiarab Ana masters ya computer science Na bado yuko nyumban kwa mumewe siku zote mwanamke hakuumbwa kufanya kazi yeye ni mama Wa kutunza watoto Na mumewe
Hizo sheria zenu za kiarabu ni za ovyo kabisa
 
Mwenyekiti wà team kataa ndoa. Tafadhari ukuje harakaaaaaaaa........mtagini aseeeeeee
 
Unaacha kazi inayokulipa pesa ndefu unafuata mtu halafu unajiona mjanja?
Akili yako imewaza pafupi kuliko kawaida, kwa watu wanaoelewa vema juu ya taasisi inaitwa familia, wanaithamini kuliko hata milioni 100!

Wewe unaweza kuuza familia yako kwa vipande vya fedha?

Huyo mwanamke ni shujaa kweli kweli, anastahili pongezi?
 
Watanzania tunakosa mipangilio ya kimaisha, sio sahihi mke kuacha kazi akamfuata mume. Women should be independent. Unaacha kazi unaenda kuwa mama wa nyumbani what if that man akapata changamoto ya kimaisha akakosa uwezo wa kuingiza kipato.? Have we thought about it??? Hapo hisia imetumika zaidi kufanya maamuzi. (Umbali sio kigezo)Huu ni mwanzo wa kufanya maisha kuwa magumu.
😏😏
 
Mimi najiuliza tu, je, kama mama angepata transfer, baba angeacha kazi amfuate?
 
Kwako wewe kuacha permant and lucrative employment kwa sababu ya mume ndicho kipaumbele chako?
Lucrative ndo sh. ngapi?. Hakuna mshahara lucrative kama alikuwa mtumishi wa umma (ondoa wanasiasa).
 
tpaul yaani,mwanamke anaekaribia kustaafu,anamuomba mama yake ushauli wa ndoa yake. Si ndio?
Inashangaza na inasikitisha sana kwa kweli. Na si kuomba tu ushauri bali ameukubali huo ushauri kutoka kuzimu.
 
ukute mwanzisha uzi ndiye mume mwenyewe 😃
Hapana. Haiwezekani. Naona alilalamika kama alikuwa mwizi tu. Hakujua chakula alikuwa akila vya mwanaume mwenzie;alijiokotea jimama. Na inaelekea mwenye kuhamishwa ni mtu mzima, lijinga lilikuwa linalelewa tu.
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mama mzazi amemshauri binti yake kuacha kazi ili kumfuata nume wake ambaye amehamishwa kikazi kwenda mkoa mwingine.

Kituko hiki kilitokea mnamo mwaka jana baada ya mume huyo kuhamishwa kutoka mkoa wa nyanda za juu kusini keenda mkoa wa kanda ya ziwa. Mume alipopata uhamisho, mke wake mwenye mtoto mmoja, ,aliyeolewa yapata miaka 3 iliyopita, alijaribu kuomba uhamisho ili kumfuata mumewe lakini waajiri wake walionekana kuchelewesha uhamisho wake wakati yeye aliomba kumfuata mumewe haraka iwezekanavyo.

Alipoona uhamisho unachelewa alimuendea mama yake mzazi kumuomba ushauri nini afanye. Bila kumumunya maneno, mama yake alimshauri kuacha kazi mara moja. 'Mume wako yupo kanda ya ziwa, wewe upo kanda ya nyanda za juu, hapo hakuna ndoa. Kama uhamisho wako unachelewa, acha kazi mara moja umfuate mumewe; shauri yako!' Alisikika mama akimshauri mwanaye.

Bila kusita, binti aliandika barua ya kuacha kazi yake ya uhasibu (senior accountant (CPA) na kumfuata mume. Sasa hivi ninapoandika uzi huu, huyo mwanamke ni mama wa nyumbani na hana namna ya kuajiriwa tena kwani umri wake umesogea.

MAONI YANGU
Hivi akina mama kuna wakati wanafikiri kwa kutumia kiungo cha chini tu au ni namna gani wenzangu? Inakuwaje mama amshairi senior accountant kuacha kazi na yeye kweli anamsikiliza mama na kuacha kazi? Akina mama wamerogwa na nani hasa?

Huu ushauri ungetolewa kwa mwanaume nina hakika angeupuuzilia mbali. Kwa kuwa akina mama alkili zao zinaishia kwenye urefu wa pua zao, ndio maana wanaweza kushawishika kuacha kazi kwa sababu tu ya kufuata m.b00 ambayo hata ichepuke kiasi gani haiishi.

Je, ingekuwa wewe mwanaJF ndiye umepewa ushauri wa aina hii, ungemsikiliza mama yako au ungetupilia mbali ushauri wake?
Kipato hakipo kwenye ajira peke yake, fungua akili waza kwa mapana zaidi
 
kwa upande wang. kabla ya kufanya maamuzi yafaa kufikili maan kazi ni hazina kubwa kuliko huyo mume. badae ndo mtu unakuja kujuta ningejua ningejua.. muda unakua umesha pita maamuz yako yafanye makin ili yasiwe majuto.
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mama mzazi amemshauri binti yake kuacha kazi ili kumfuata nume wake ambaye amehamishwa kikazi kwenda mkoa mwingine.

Kituko hiki kilitokea mnamo mwaka jana baada ya mume huyo kuhamishwa kutoka mkoa wa nyanda za juu kusini keenda mkoa wa kanda ya ziwa. Mume alipopata uhamisho, mke wake mwenye mtoto mmoja, ,aliyeolewa yapata miaka 3 iliyopita, alijaribu kuomba uhamisho ili kumfuata mumewe lakini waajiri wake walionekana kuchelewesha uhamisho wake wakati yeye aliomba kumfuata mumewe haraka iwezekanavyo.

Alipoona uhamisho unachelewa alimuendea mama yake mzazi kumuomba ushauri nini afanye. Bila kumumunya maneno, mama yake alimshauri kuacha kazi mara moja. 'Mume wako yupo kanda ya ziwa, wewe upo kanda ya nyanda za juu, hapo hakuna ndoa. Kama uhamisho wako unachelewa, acha kazi mara moja umfuate mumewe; shauri yako!' Alisikika mama akimshauri mwanaye.

Bila kusita, binti aliandika barua ya kuacha kazi yake ya uhasibu (senior accountant (CPA) na kumfuata mume. Sasa hivi ninapoandika uzi huu, huyo mwanamke ni mama wa nyumbani na hana namna ya kuajiriwa tena kwani umri wake umesogea.

MAONI YANGU
Hivi akina mama kuna wakati wanafikiri kwa kutumia kiungo cha chini tu au ni namna gani wenzangu? Inakuwaje mama amshairi senior accountant kuacha kazi na yeye kweli anamsikiliza mama na kuacha kazi? Akina mama wamerogwa na nani hasa?

Huu ushauri ungetolewa kwa mwanaume nina hakika angeupuuzilia mbali. Kwa kuwa akina mama alkili zao zinaishia kwenye urefu wa pua zao, ndio maana wanaweza kushawishika kuacha kazi kwa sababu tu ya kufuata m.b00 ambayo hata ichepuke kiasi gani haiishi.

Je, ingekuwa wewe mwanaJF ndiye umepewa ushauri wa aina hii, ungemsikiliza mama yako au ungetupilia mbali ushauri wake?
Kwa upande wangu sitaweza kufanya hivyo kwa ulimwengu wa sasa coz mwanaume hata ufanye hivyo hawezi kuthamini uamuzi wako tena baadae ataanza kukuona huna akili ni mzigo kwake ataona unapenda mapenzi kuliko maendeleo cwezi kabisa!
 
Kweli kabisa mkuu. Kuishi pamoja sio nyongeza ya upendo bali ni kero tu.
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mama mzazi amemshauri binti yake kuacha kazi ili kumfuata nume wake ambaye amehamishwa kikazi kwenda mkoa mwingine.

Kituko hiki kilitokea mnamo mwaka jana baada ya mume huyo kuhamishwa kutoka mkoa wa nyanda za juu kusini keenda mkoa wa kanda ya ziwa. Mume alipopata uhamisho, mke wake mwenye mtoto mmoja, ,aliyeolewa yapata miaka 3 iliyopita, alijaribu kuomba uhamisho ili kumfuata mumewe lakini waajiri wake walionekana kuchelewesha uhamisho wake wakati yeye aliomba kumfuata mumewe haraka iwezekanavyo.

Alipoona uhamisho unachelewa alimuendea mama yake mzazi kumuomba ushauri nini afanye. Bila kumumunya maneno, mama yake alimshauri kuacha kazi mara moja. 'Mume wako yupo kanda ya ziwa, wewe upo kanda ya nyanda za juu, hapo hakuna ndoa. Kama uhamisho wako unachelewa, acha kazi mara moja umfuate mumewe; shauri yako!' Alisikika mama akimshauri mwanaye.

Bila kusita, binti aliandika barua ya kuacha kazi yake ya uhasibu (senior accountant (CPA) na kumfuata mume. Sasa hivi ninapoandika uzi huu, huyo mwanamke ni mama wa nyumbani na hana namna ya kuajiriwa tena kwani umri wake umesogea.

MAONI YANGU
Hivi akina mama kuna wakati wanafikiri kwa kutumia kiungo cha chini tu au ni namna gani wenzangu? Inakuwaje mama amshairi senior accountant kuacha kazi na yeye kweli anamsikiliza mama na kuacha kazi? Akina mama wamerogwa na nani hasa?

Huu ushauri ungetolewa kwa mwanaume nina hakika angeupuuzilia mbali. Kwa kuwa akina mama alkili zao zinaishia kwenye urefu wa pua zao, ndio maana wanaweza kushawishika kuacha kazi kwa sababu tu ya kufuata m.b00 ambayo hata ichepuke kiasi gani haiishi.

Je, ingekuwa wewe mwanaJF ndiye umepewa ushauri wa aina hii, ungemsikiliza mama yako au ungetupilia mbali ushauri wake?
huyo binti aliye acha kazi ni tahira namba moja
 
Kikubwa ndoa yao idumu, aanzshe biashara huko maisha yaendeleee
 
Aanzishe biashara kwa mtaji gani wakati kaacha kazi ambayo ingemuingizia mtaji mkuu?
 
Back
Top Bottom