sitagliptin
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 1,208
- 2,525
Kunachokuumiza wewe nin au kipi kinakuwashaMimi kwa maoni yangu naona kuacha kazi na kufuata mume ni upumbavu uliovuka mipaka. Kama wewe unaona ni sawa, hayo ni maoni yako mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kunachokuumiza wewe nin au kipi kinakuwashaMimi kwa maoni yangu naona kuacha kazi na kufuata mume ni upumbavu uliovuka mipaka. Kama wewe unaona ni sawa, hayo ni maoni yako mkuu.
Mbona una shupaa sana? Inakuhusu?Please compare the cost of losing the job and the benefit of staying together with wife/husband. These are two incomparable entities. Dont compare thresh (marriage) with treasure (employment).
Ulisikia wapi mwanamke kazi yake kutafta? Yeye ni kupokea na kukiandaaKwako wewe kuacha permant and lucrative employment kwa sababu ya mume ndicho kipaumbele chako?
Ndoa nayo ni kazi pia, na kila mtu afanye kazi anayoipenda!!Sasa wewe mkuu unaona ndoa ni kitu cha kuchukulia umuhimu kiasi hicho? Ndo si ni utapeli tu?
Tafuta pesa kijana, acha maakasiriko. Mwanamke ni PAMBO la kukaa nyumbani tu, hapaswi kufanya kazi yoyote zaidi ya kuhudumia mume. Hata vitabu vya dini vimesisitiza hilo.Kwako wewe kuacha permant and lucrative employment kwa sababu ya mume ndicho kipaumbele chako?
Tatizo la wa Afrika ndo hili. Kabla ya kuanza kuumizwa na mwanamke alieacha kazi,yanamhusu nini? Wanakula kwake? Wanapata nini?Wewe tatizo tayari una notion yako kichwani, ungekuwa open minded usingewaza kwamba dada kaacha kazi kisa kufata unachokisema. Change your way of seeing things mkuu.
Umri unahusianaje na hii mafa mkuu?
Mimi mwenyewe nimemuachisha mke wangu kazi, inaelekea hujaoa na hujui maana ya mke.Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mama mzazi amemshauri binti yake kuacha kazi ili kumfuata nume wake ambaye amehamishwa kikazi kwenda mkoa mwingine.
Kituko hiki kilitokea mnamo mwaka jana baada ya mume huyo kuhamishwa kutoka mkoa wa nyanda za juu kusini keenda mkoa wa kanda ya ziwa. Mume alipopata uhamisho, mke wake mwenye mtoto mmoja, ,aliyeolewa yapata miaka 3 iliyopita, alijaribu kuomba uhamisho ili kumfuata mumewe lakini waajiri wake walionekana kuchelewesha uhamisho wake wakati yeye aliomba kumfuata mumewe haraka iwezekanavyo.
Alipoona uhamisho unachelewa alimuendea mama yake mzazi kumuomba ushauri nini afanye. Bila kumumunya maneno, mama yake alimshauri kuacha kazi mara moja. 'Mume wako yupo kanda ya ziwa, wewe upo kanda ya nyanda za juu, hapo hakuna ndoa. Kama uhamisho wako unachelewa, acha kazi mara moja umfuate mumewe; shauri yako!' Alisikika mama akimshauri mwanaye.
Bila kusita, binti aliandika barua ya kuacha kazi yake ya uhasibu (senior accountant (CPA) na kumfuata mume. Sasa hivi ninapoandika uzi huu, huyo mwanamke ni mama wa nyumbani na hana namna ya kuajiriwa tena kwani umri wake umesogea.
MAONI YANGU
Hivi akina mama kuna wakati wanafikiri kwa kutumia kiungo cha chini tu au ni namna gani wenzangu? Inakuwaje mama amshairi senior accountant kuacha kazi na yeye kweli anamsikiliza mama na kuacha kazi? Akina mama wamerogwa na nani hasa?
Huu ushauri ungetolewa kwa mwanaume nina hakika angeupuuzilia mbali. Kwa kuwa akina mama alkili zao zinaishia kwenye urefu wa pua zao, ndio maana wanaweza kushawishika kuacha kazi kwa sababu tu ya kufuata m.b00 ambayo hata ichepuke kiasi gani haiishi.
Je, ingekuwa wewe mwanaJF ndiye umepewa ushauri wa aina hii, ungemsikiliza mama yako au ungetupilia mbali ushauri wake?
Kama vile umetumia kichwa cha chini kufikilia. Mambo ya mke na mme,yanakuhusu nini?Kwako wewe kuacha permant and lucrative employment kwa sababu ya mume ndicho kipaumbele chako?
Huyu inaonekana kuna mpangaji mwenzake alikuwa anapika na kumpelekea chakula chumbani kwake,au anamuanulia boxer na kuficha ndani kwake,maisha yanaenda kuhalibika.Mimi mwenyewe nimemuachisha mke wangu kazi, inaelekea hujaoa na hujui maana ya mke.
Single mother atakuwa na ushauri gani mzuri kwa mwanae, alifikili ataachwa, kwa vile yuko mbali, huyo Mama bogus kabisa.Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mama mzazi amemshauri binti yake kuacha kazi ili kumfuata nume wake ambaye amehamishwa kikazi kwenda mkoa mwingine.
Kituko hiki kilitokea mnamo mwaka jana baada ya mume huyo kuhamishwa kutoka mkoa wa nyanda za juu kusini keenda mkoa wa kanda ya ziwa. Mume alipopata uhamisho, mke wake mwenye mtoto mmoja, ,aliyeolewa yapata miaka 3 iliyopita, alijaribu kuomba uhamisho ili kumfuata mumewe lakini waajiri wake walionekana kuchelewesha uhamisho wake wakati yeye aliomba kumfuata mumewe haraka iwezekanavyo.
Alipoona uhamisho unachelewa alimuendea mama yake mzazi kumuomba ushauri nini afanye. Bila kumumunya maneno, mama yake alimshauri kuacha kazi mara moja. 'Mume wako yupo kanda ya ziwa, wewe upo kanda ya nyanda za juu, hapo hakuna ndoa. Kama uhamisho wako unachelewa, acha kazi mara moja umfuate mumewe; shauri yako!' Alisikika mama akimshauri mwanaye.
Bila kusita, binti aliandika barua ya kuacha kazi yake ya uhasibu (senior accountant (CPA) na kumfuata mume. Sasa hivi ninapoandika uzi huu, huyo mwanamke ni mama wa nyumbani na hana namna ya kuajiriwa tena kwani umri wake umesogea.
MAONI YANGU
Hivi akina mama kuna wakati wanafikiri kwa kutumia kiungo cha chini tu au ni namna gani wenzangu? Inakuwaje mama amshairi senior accountant kuacha kazi na yeye kweli anamsikiliza mama na kuacha kazi? Akina mama wamerogwa na nani hasa?
Huu ushauri ungetolewa kwa mwanaume nina hakika angeupuuzilia mbali. Kwa kuwa akina mama alkili zao zinaishia kwenye urefu wa pua zao, ndio maana wanaweza kushawishika kuacha kazi kwa sababu tu ya kufuata m.b00 ambayo hata ichepuke kiasi gani haiishi.
Je, ingekuwa wewe mwanaJF ndiye umepewa ushauri wa aina hii, ungemsikiliza mama yako au ungetupilia mbali ushauri wake?
Kuna mwanamke Wa kiarab Ana masters ya computer science Na bado yuko nyumban kwa mumewe siku zote mwanamke hakuumbwa kufanya kazi yeye ni mama Wa kutunza watoto Na mumeweKatika hali isiyokuwa ya kawaida, mama mzazi amemshauri binti yake kuacha kazi ili kumfuata nume wake ambaye amehamishwa kikazi kwenda mkoa mwingine.