Mama amshauri mwanaye kuacha kazi kisa ndoa

Mama amshauri mwanaye kuacha kazi kisa ndoa

Wewe unaonaje mkuu? Unaona amefanya jambo la maana kuacha kazi kisa kufuata m.boo?
Sio kufauata mb.oo kafata familia yake.
Hapo mi sioni kitu cha ajabu, labda kama amekukatia mrija wa kupata vibukubuku toka kwake.

Yeye kaangakia kilicho bora kwake na sio kwa walimwengu wengine ukiwemo wewe.
 
Watu wengi wamebase kusurvival na Sio KUISHI 👉 NDOA ni Bora kuliko chochote na huyo mama alifanya Best decision

By the way 👉 Pepo ya MWANAMKE ipo mikononi mwa MWANAUME kwaiyo kwa Mwanamke mwenye HEKIMA kazi kwake si kitu
 
Wewe umerogwa sio bure. Kataa ndoa. Ndoa ni utumwa ulioletwa na wazungu kwa manufaa yao binafsi
 
Mkuu usitetee jambo la ovyo kama hili. Hebu muonee huruma mwenzako. Sasa hivi anajuta kusikiliza maoni ya mama yake. Anatamani walau apate mtu amuajiri kama dada wa kazi, lakini wapi!
Senior Accountant tena ana CPA anahaha kutafuta kazi?? Chai ya wapi hii af em acha kutupanga!! Huyo dada tayari alikuwa ana connection na experience sidhani kama kuacha kazi kwake ni tatizo maana ana uwezo za kupata ingine! Af acha umbea inakuhusu nini wewe🚮
 
Juzi kidemu kimedinywa na mazombie hadi kimeomba maji ya kunywa. Naye ipo siku atainamishwa hadi ataomba mma. Mwache akimbilie m.boo anachokitafuta atakipata very soon.
Wwe mbona unaumia sana na maisha ya watu wengine!? Au huyo ni binti yako!? Unahisi sasa yale mazawadi ya mwisho wa mwezi ndiyo by by baba Jane!!??
 
Mahusiano ni zaidi ya hela; yupo mwingine kaacha nafasi ya ukurugenzi kamfuata mumewe Norway ambaye amebadili uraia.​
Mkuu maisha na uchumi wa Norway huwezi kuyafananisha na maisha ya mchongo ya bongo. Huyu mama kampoteza mwanaye kwa kumshawishi kuacha kazi kwa ajili ya kutumikia m.boo. Hii ni mbaya sana.
 
Senior Accountant tena ana CPA anahaha kutafuta kazi?? Chai ya wapi hii af em acha kutupanga!! Huyo dada tayari alikuwa ana connection na experience sidhani kama kuacha kazi kwake ni tatizo maana ana uwezo za kupata ingine! Af acha umbea inakuhusu nini wewe🚮
Kama kuna kazi mbona kuna wasomi kibao tu zaidi ya huyu wanatafuta kazi bila mafanikio? Acha kuwajaza watu ujinga mkuu.
 
Mama kafanya la Busara sana hata mfano kama mimi lakini sio mimi, ngemfuata mume
kwani si mnatakiwa muwatunze wake zenu na mnapaswa muwapatie mahitaji yote mkuu ?
Mke azae alee akupkie akufulie nk..au sio nyinyi mnasemaga kila siku kuwa wanawake wasomi ni pasua kichwa bora wa la pili B kama mimi ashinde tu nyumbani?
 
Yeye ndiye alikuwa na mshahara mkubwa kuliko mume wake. Baada ya kuacha kazi uchumi wa familia na mipango ya maendeleo vimeyumba vibaya sana. Usitetee kitendo cha ovyo kama hiki mkuu.
Ifike wakati tukubali kuto kukubaliana kifikra hatuwezi kufanana . Si Kila unachokiona muhimu kwako kitakua muhimu pia Kwa wengine .
We are not the same and we will never be the same
 
Back
Top Bottom