Mama amshauri mwanaye kuacha kazi kisa ndoa

Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mama mzazi amemshauri binti yake kuacha kazi ili kumfuata nume wake ambaye amehamishwa kikazi kwenda mkoa mwingine.

Kituko hiki kilitokea mnamo mwaka jana baada ya mume huyo kuhamishwa kutoka mkoa wa nyanda za juu kusini keenda mkoa wa kanda ya ziwa. Mume alipopata uhamisho, mke wake mwenye mtoto mmoja, ,aliyeolewa yapata miaka 3 iliyopita, alijaribu kuomba uhamisho ili kumfuata mumewe lakini waajiri wake walionekana kuchelewesha uhamisho wake wakati yeye aliomba kumfuata mumewe haraka iwezekanavyo.

Alipoona uhamisho unachelewa alimuendea mama yake mzazi kumuomba ushauri nini afanye. Bila kumumunya maneno, mama yake alimshauri kuacha kazi mara moja. 'Mume wako yupo kanda ya ziwa, wewe upo kanda ya nyanda za juu, hapo hakuna ndoa. Kama uhamisho wako unachelewa, acha kazi mara moja umfuate mumewe; shauri yako!' Alisikika mama akimshauri mwanaye.

Bila kusita, binti aliandika barua ya kuacha kazi yake ya uhasibu (senior accountant (CPA) na kumfuata mume. Sasa hivi ninapoandika uzi huu, huyo mwanamke ni mama wa nyumbani na hana namna ya kuajiriwa tena kwani umri wake umesogea.

MAONI YANGU
Hivi akina mama kuna wakati wanafikiri kwa kutumia kiungo cha chini tu au ni namna gani wenzangu? Inakuwaje mama amshairi senior accountant kuacha kazi na yeye kweli anamsikiliza mama na kuacha kazi? Akina mama wamerogwa na nani hasa?

Huu ushauri ungetolewa kwa mwanaume nina hakika angeupuuzilia mbali. Kwa kuwa akina mama alkili zao zinaishia kwenye urefu wa pua zao, ndio maana wanaweza kushawishika kuacha kazi kwa sababu tu ya kufuata m.b00 ambayo hata ichepuke kiasi gani haiishi.

Je, ingekuwa wewe mwanaJF ndiye umepewa ushauri wa aina hii, ungemsikiliza mama yako au ungetupilia mbali ushauri wake?
You're so judgemental. Tushaujua upande wako unataka kusikia ya wengine ili nini?
Kazi na familia kipi cha kwanza? Kaa chini uwaze upya mkuu......
 
Aanzishe biashara kwa mtaji gani wakati kaacha kazi ambayo ingemuingizia mtaji mkuu?
We unajua ana muda gani kwenye ajira? Hivi mpaka kufikia hayo maamuzi unadhani hakuyawaza yote hayo?
Yeye ni Senior Accountant wewe je?
 
Alafu mtu ambae hakulili shida unamjadili wa nini na maisha yake!? Kila mtu afanye mambo yake anayoyapenda mradi tu havunji sheria za Nchi na wala hamkwazi mtu!!
 
Huyu ni mzima na buheri wa afya. Hana health conditon yoyote inayomfanya kuwa karibu na mumewe zaidi ya hamu uchwara
Mbona kama umekasirika sana? Mwanamke anatakiwa atumie muda mwingi kukaa nyumbani kulea watoto. Haya mambo ya kazi chanzo chake ni umaskini. Ndoa ni muhimu kuliko hiyo kazi.
 
Hayo ni maoni yako mkuu. Mfano uliotoa hausadifu hiki ninachokisema hapa. Kuacha kazi kisa mume ni uwendawazimu. Cha ajabu huyo mume unayekaa naye bega kwa bega akiamua kuchepuka, lazima atachepuka tu. Kukaa pamoja sio ulinzi sahihi kwa mume kwani mume hulindwa na Mungu, sio mke.
Wewe ndo mwendawazimu kwa kudhani pesa ni bora kuliko familia. Au wewe ni mchepuko wa jamaa ukataka uhamie nae kanda ya ziwa?
 
Alafu mtu ambae hakulili shida unamjadili wa nini na maisha yake!? Kila mtu afanye mambo yake anayoyapenda mradi tu havunji sheria za Nchi na wala hamkwazi mtu!!
Kabisa mkuu, mwanaume unamjadili mke wa mwanaume mwenzako kweli? Jamaa amenisikitisha sana huyo
 
Umri umekwenda ana mtoto mmoja ndoa ina miaka mitatu,
Kuna Jambo halipo sawa hapo!
 
U
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mama mzazi amemshauri binti yake kuacha kazi ili kumfuata nume wake ambaye amehamishwa kikazi kwenda mkoa mwingine.

Kituko hiki kilitokea mnamo mwaka jana baada ya mume huyo kuhamishwa kutoka mkoa wa nyanda za juu kusini keenda mkoa wa kanda ya ziwa. Mume alipopata uhamisho, mke wake mwenye mtoto mmoja, ,aliyeolewa yapata miaka 3 iliyopita, alijaribu kuomba uhamisho ili kumfuata mumewe lakini waajiri wake walionekana kuchelewesha uhamisho wake wakati yeye aliomba kumfuata mumewe haraka iwezekanavyo.

Alipoona uhamisho unachelewa alimuendea mama yake mzazi kumuomba ushauri nini afanye. Bila kumumunya maneno, mama yake alimshauri kuacha kazi mara moja. 'Mume wako yupo kanda ya ziwa, wewe upo kanda ya nyanda za juu, hapo hakuna ndoa. Kama uhamisho wako unachelewa, acha kazi mara moja umfuate mumewe; shauri yako!' Alisikika mama akimshauri mwanaye.

Bila kusita, binti aliandika barua ya kuacha kazi yake ya uhasibu (senior accountant (CPA) na kumfuata mume. Sasa hivi ninapoandika uzi huu, huyo mwanamke ni mama wa nyumbani na hana namna ya kuajiriwa tena kwani umri wake umesogea.

MAONI YANGU
Hivi akina mama kuna wakati wanafikiri kwa kutumia kiungo cha chini tu au ni namna gani wenzangu? Inakuwaje mama amshairi senior accountant kuacha kazi na yeye kweli anamsikiliza mama na kuacha kazi? Akina mama wamerogwa na nani hasa?

Huu ushauri ungetolewa kwa mwanaume nina hakika angeupuuzilia mbali. Kwa kuwa akina mama alkili zao zinaishia kwenye urefu wa pua zao, ndio maana wanaweza kushawishika kuacha kazi kwa sababu tu ya kufuata m.b00 ambayo hata ichepuke kiasi gani haiishi.

Je, ingekuwa wewe mwanaJF ndiye umepewa ushauri wa aina hii, ungemsikiliza mama yako au ungetupilia mbali ushauri wake?
Ujinga vitabu vinasema utaachana na wazazi wako na kuambatana na mumeo, sasa inawezekana vipi ufuate ushauri wa mzazi wakati una mumeo ?
 
Duuh hatari,mume huko kikiwaka! Ushauri mbaya sana huu.
 
Siwezi acha kazi kufata mume muajiriwa.......

Unless familia imefika level ambayo ina kipato cha nje ya mshahara ambacho kinahudumia mahitaji yote ya familia ya kila mwezi bila kuyumba including emergency fund

Na kama nikikosa kazi ya taaluma yangu nione chance ya kujiajiri
 
Sasa sisi wasomaji tuta aamini vp haya maneno yako unayo sema!!??
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mama mzazi amemshauri binti yake kuacha kazi ili kumfuata nume wake ambaye amehamishwa kikazi kwenda mkoa mwingine.

Kituko hiki kilitokea mnamo mwaka jana baada ya mume huyo kuhamishwa kutoka mkoa wa nyanda za juu kusini keenda mkoa wa kanda ya ziwa. Mume alipopata uhamisho, mke wake mwenye mtoto mmoja, ,aliyeolewa yapata miaka 3 iliyopita, alijaribu kuomba uhamisho ili kumfuata mumewe lakini waajiri wake walionekana kuchelewesha uhamisho wake wakati yeye aliomba kumfuata mumewe haraka iwezekanavyo.

Alipoona uhamisho unachelewa alimuendea mama yake mzazi kumuomba ushauri nini afanye. Bila kumumunya maneno, mama yake alimshauri kuacha kazi mara moja. 'Mume wako yupo kanda ya ziwa, wewe upo kanda ya nyanda za juu, hapo hakuna ndoa. Kama uhamisho wako unachelewa, acha kazi mara moja umfuate mumewe; shauri yako!' Alisikika mama akimshauri mwanaye.

Bila kusita, binti aliandika barua ya kuacha kazi yake ya uhasibu (senior accountant (CPA) na kumfuata mume. Sasa hivi ninapoandika uzi huu, huyo mwanamke ni mama wa nyumbani na hana namna ya kuajiriwa tena kwani umri wake umesogea.

MAONI YANGU
Hivi akina mama kuna wakati wanafikiri kwa kutumia kiungo cha chini tu au ni namna gani wenzangu? Inakuwaje mama amshairi senior accountant kuacha kazi na yeye kweli anamsikiliza mama na kuacha kazi? Akina mama wamerogwa na nani hasa?

Huu ushauri ungetolewa kwa mwanaume nina hakika angeupuuzilia mbali. Kwa kuwa akina mama alkili zao zinaishia kwenye urefu wa pua zao, ndio maana wanaweza kushawishika kuacha kazi kwa sababu tu ya kufuata m.b00 ambayo hata ichepuke kiasi gani haiishi.

Je, ingekuwa wewe mwanaJF ndiye umepewa ushauri wa aina hii, ungemsikiliza mama yako au ungetupilia mbali ushauri wake?
Wewe ndiye mwenye huyo mke na sasa umeshachoka kutoa matumizi
 
Ni maamuzi yake na ni maisha yake, wewe kinakuuma nini? Utakuwa mchawi wewe sio bure.
 
Maamuzi magumu kwa ajili ya familia upendo ulioje huu!

Mungu awabariki na ndoa yao iendelee kuwa na amani na upendo hata mwisho wa dayari..
 
Watanzania tunakosa mipangilio ya kimaisha, sio sahihi mke kuacha kazi akamfuata mume. Women should be independent. Unaacha kazi unaenda kuwa mama wa nyumbani what if that man akapata changamoto ya kimaisha akakosa uwezo wa kuingiza kipato.? Have we thought about it??? Hapo hisia imetumika zaidi kufanya maamuzi. (Umbali sio kigezo)Huu ni mwanzo wa kufanya maisha kuwa magumu.
😏😏
Umeeleweka sana mkuu. Natamani hii comment isomwe na kila mtu hunu ndani.
 
Yeye ndiye alikuwa na mshahara mkubwa kuliko mume wake. Baada ya kuacha kazi uchumi wa familia na mipango ya maendeleo vimeyumba vibaya sana. Usitetee kitendo cha ovyo kama hiki mkuu.
Mmume wanted ndiye alitakiwa aache kazi abaki na mke.
 
Back
Top Bottom