sangaima
Member
- May 16, 2023
- 77
- 104
Habari wanajamii Forum
Natumain muhali njema na majukumu ya kila siku. Nia na madhumuni ya uzi huu ni kuwa kama mwanajamii mwenzenu nimekuja kuomba msaada wa mawazo na majibu juu ya hili.
Mzazi wangu anachangmoto ya kiafya inayohitaji fedha nyingi tuu kwajili ya matibabu, kwa bahati mbaya Hana kitega uchumi chochote zaid ya kumiliki asset ya nyumba ambayo anawiwa kuombea mkopo kwa bank, taasisi, au hata mtu binafsi mkopo wa riba uwe wa maerejesho endelevu ama wa mkupuo.
Changamoto iliyopo nikuwa nyaraka alizonazo ni mkataba wa mauziano uliohusisha mwanasheria na barua toka serikali ya mtaa ya kutambua mauziano hayo.
Tafadhali mwenye ujuzi juu ya mambo haya au mwenye kuweza kuwa msaada kwa namna moja ama nyingine nitashukuru maoni yako hapa.