Ni kwel tuna shida sana na pesa kwajili ya matibabu...na awali ya yote tumeiweka Sokoni tayar..jitihada za kutafuta mkopo ni katika harakayi za kuona tunapataje fedha kwa uharaka zaidWewe kama ulivoshauriwa na wadau hapo juu mkopo huwezi pata kwenye taasisi rasmi za kifedha maana wao wanatoa mkopo kwa ajili ya kuendeleza biashara iliyopo full stop, kama mna shida sana ya hela uzeni hiyo nyumba mama akatibiwe.....
Ni kwel tuna shida sana na pesa kwajili ya matibabu ya mama...na awali ya yote tumeiweka Sokoni tayar..jitihada za kutafuta mkopo ni katika harakayi za kuona tunapataje fedha kwa uharaka zaidWewe kama ulivoshauriwa na wadau hapo juu mkopo huwezi pata kwenye taasisi rasmi za kifedha maana wao wanatoa mkopo kwa ajili ya kuendeleza biashara iliyopo full stop, kama mna shida sana ya hela uzeni hiyo nyumba mama akatibiwe.....
+ 1 kwenye hili, kiukweli sioni namna mtakavyoweza kulipa hilo deni kama hakuna vitega uchumi vingine, mnaweza kupata hasara nyumba ikachukuliwa na wajanja kwa bei rahisi, kufa kufaana. Nivyema kama hakuna kabisa option ya kupata hela ya matibabu basi muuze tu hiyo nyumba kwa bei ambayo ni nzuri mtakayoweza kupata gharama ya matibabu na kujenga nyumba nyingine hata ya kawaida nnje ya mji, kumbuka mtakuwa mmepoteza makazi, maisha ya dar bila makazi wala vitega uchumi ni changamoto sana.Pole sana kwa changamoto zinazokukabili...Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi.......
Ila nina machache nimewaza baada ya kusoma post yako
1.Umesema hauna kitega uchumi chochote zaidi ya kuwa na nyumba,halafu unasema unaomba mkopo je huo mkopo utaulipa na nini na wakati huna kitega uchumi?
2.Hauoni unaweza poteza nyumba bei nafuu kwa nini hiyo nyumba usiize?
3.Una hakika ugonjwa ni wa kupona?maana kuna jirani aliuza nyumba kwa ugonjwa ambao mwisho wake alipumzika akaacha familia nje....
Fikiria mara mbilimbili kabla hujafanya maamuzi
Mkuu Kama UPO DSM au karibu na DSM jaribu kuwasiliana na Dr Issack Maro wa Cloudsfm umuelezee changamoto au mafute Malisa GJ yule wa Facebook.Habari wanajamii Forum
Natumain muhali njema na majukumu ya kila siku. Nia na madhumuni ya uzi huu ni kuwa kama mwanajamii mwenzenu nimekuja kuomba msaada wa mawazo na majibu juu ya hili.
Mzazi wangu anachangmoto ya kiafya inayohitaji fedha nyingi tuu kwajili ya matibabu, kwa bahati mbaya Hana kitega uchumi chochote zaid ya kumiliki asset ya nyumba ambayo anawiwa kuombea mkopo kwa bank, taasisi, au hata mtu binafsi mkopo wa riba uwe wa maerejesho endelevu ama wa mkupuo. Changamoto iliyopo nikuwa nyaraka arizonazo ni mkataba wa mauziano uliohusisha mwanasheria na barua toka serikali ya mtaa ya kutambua mauziano hayo. Tafadhali mwenye ujuzi juu ya mambo haya au mwenye kuweza kuwa msaada kwa namna moja ama nyingine nitashukuru maoni yako hapa ama kwa mawasiliano yangu binafsi: +255764432001 Asante.
Amen Chief nashukuru sana kwa feedback yako inayotia moyo na kufumbua macho. Na Yes nipo Dar nitahakikisha nazingatia na kufanyia kazi ushauri wako, Asante.Mkuu Kama UPO DSM au karibu na DSM jaribu kuwasiliana na Dr Issack Maro wa Cloudsfm umuelezee changamoto au mafute Malisa GJ yule wa Facebook.
Tuone njia ya kumchangia kwanza ili apate matibabu.
Kuuza Nyumba iwe last option
Watanzania kwa sasa wanachangiana Sana hasa katika magonjwa .
So Mtafute Malisa Gj au Dr Issack Maro usiogope.
Pole Sana .
God won't put to you something that you can't bear. ₹Utashinda.
Upo sahihi kiongozi ndomana tukafika katika maamuzi haya, awali yalikuwa ni kuuza ila kama unavyojua katika kuumwa adui mkuu ni muda hivyo tukaona kupata mkopo kutoka kwa mdau au taasisi pengine inaweza kuwa upesi zaidi.
Dunia ya sasa haina huruma, watu wengi hawachangii siku hizi; ulichonacho ndio kitakuwa mkombozi wako apo baadaye. Nyumba ni ya mama, na alitumia jasho lake katika kuijenga, na kwa sasa hiyo nyumba inatakiwa imsaidie kwenye hii changamoto; nyie watoto mtajenga ya kwenu kama mama yenu alivyopambana. Ushauri wa mwisho kama njia zingine zitashindikana; uzeni nyumba kwa bei nzuri, kiasi mtumie kwenye kumuuguza, na zitakazobaki tafuteni eneo sehemu nyingine.
Upo sahihi kiongozi ndomana tukafika katika maamuzi haya, awali yalikuwa ni kuuza ila kama unavyojua katika kuumwa adui mkuu ni muda hivyo tukaona kupata mkopo kutoka kwa mdau au taasisi pengine inaweza kuwa upesi zaidi.
Nenda bank utapata kirahisi sababu tayar dhamana unayoHabari wanajamii Forum
Natumain muhali njema na majukumu ya kila siku. Nia na madhumuni ya uzi huu ni kuwa kama mwanajamii mwenzenu nimekuja kuomba msaada wa mawazo na majibu juu ya hili.
Mzazi wangu anachangmoto ya kiafya inayohitaji fedha nyingi tuu kwajili ya matibabu, kwa bahati mbaya Hana kitega uchumi chochote zaid ya kumiliki asset ya nyumba ambayo anawiwa kuombea mkopo kwa bank, taasisi, au hata mtu binafsi mkopo wa riba uwe wa maerejesho endelevu ama wa mkupuo. Changamoto iliyopo nikuwa nyaraka arizonazo ni mkataba wa mauziano uliohusisha mwanasheria na barua toka serikali ya mtaa ya kutambua mauziano hayo. Tafadhali mwenye ujuzi juu ya mambo haya au mwenye kuweza kuwa msaada kwa namna moja ama nyingine nitashukuru maoni yako hapa ama kwa mawasiliano yangu binafsi: +255764432001 Asante.
Nenda bank utapata kirahisi sababu tayar dhamana unayo
Nashukuru kwa wazo na ushauri kiongozi kwa ufuatiliaji wangu mdogo ni kuwa bank wanahitaji hati ya umiliki rasmi ya ardhi toka wizarani yani "TITLE DEED au TITLE OFFER ambayo kwetu ni changamoto sis tuna hati ( mkataba ) wamauziano.Nenda bank utapata kirahisi sababu tayar dhamana unayo
Upo sahihi kiongozi.. awali yayote nyumba tumeweka sokoni ni katika maamuzi ya kukimbizana na muda hasa ukizingatia swala la kuuguza si la kusubiri..tukaamin pengine kupata mkopo itakuwa haraka zaid ndomaana tumefika hapa.Ushauri wangu.
Iyo nyumba iuzwe kwa bei itakayofit matibabu na ya kujenga nyumba ingine sehem yoyote,
Mkikopa imekula kwenu
Nashukuru dada Jane kwa Tahadhari ya busara. Option ya kuuza ndio option yetu kuu tokea awali changamoto nikatika kujaribu kukumbizana na muda ndo tukafika katika maamuzi hayaUsisubutu kukopa kwa mtu Kuna wengine ukikopa kwake huwezi kulipa utashangaa nyumba inakuwa yake kwa hela ndogo sana
Bora muuze hiyo nyumba
Mnaweza endelea na Tiba mbagala huku mkiendelea kuinadi nyumbaNashukuru dada Jane kwa Tahadhari ya busara. Option ya kuuza ndio option yetu kuu tokea awali changamoto nikatika kujaribu kukumbizana na muda ndo tukafika katika maamuzi haya