Mama BIG kiboko ya wanawake mavuvuzela

Kama hayana mbona hamuwaiti hao mlowavika pete...tigo kitu kidogo we chagua tundu lililoko mwilini kwangu kisha litumie utakavyo ndo utaona mambo na utajua maana ya hayo maneno na utayatoa moyoni kwa gharama za kusaliti sakrament takatifu

Nimekubali wewe kweli stress remover!
 
Sasa mt. Uncle Roya, unautakia nini huu moyo wangu mpaka unipe antidoti! ganzi ndo saizi yake.
Nimeadimika si nilikuwa kwenye shughuli za kitaifa.

Heheee....siuchukui moyo wako bana....nautibu na kukuachia....😎...

Pole kwa shughuli za kitaifa..
 
Da Sophy anyone???

Where is asprin when you really need his wisdom!!
 
Hv huyu Mama Big na yule dada nani vile?? Sophy sijui... Ni mapacha??
 
Ivi unategemea mwanaume atamwambia nungaembe eti huwa anamwita mkewe pia honey?

Ungekua japo na kauelewa kama kaharadani,usingekuja kujipigia mayowe.

Siku utakapokuja kuitwa BOSI na Machinga, kwa akili yako utakuja kuanzisha thredi mpya apa.
 
Athipilini...achipilini...aciplini anakazi uvinza kwa mjukuu wake

Duh! Uvinza tena? babu hatumii chumvi, anaikontroo presha yake. Afu ukome, kwa mjukuu babu anapewa ugoro tu!
 
Hv huyu Mama Big na yule dada nani vile?? Sophy sijui... Ni mapacha??

Askofu bwana asifiwe naomba maji ya baraka na unifanyie maombi niendele kutoa dozi kwa hawa jamaa
 
Mama Big bana umempata mwanaume mwenyewe mchovu basi unapiga mayowe weeeeee nakujiona wewe mjanja uje huku tukupe raha ya tope
Kwani TOPE lina raha??wakati watu akisikia tope hubadirisha njia?
 
Asee nakutumia namba yangu haraka tuonane lloooooh
 
Maji marefu, havuki mama b hapa! There z nothn she does that I cant do to my man!

We Bigirita na kitambi chako si utaomba maji katikati ya shuguli wenzio wanaofika hupewa juithi na ndizi matunda kurudisha afya na maandalizi ya bao jingine
 
Ma big nimekoma crudi tena mburahati kwa Da sophy alichonitenda kikubwa! Nimemtoroka nipozangu usalule!

Kumbe da Sofy ameamua kutest kama silaha za maangamizi bado zinanguvu? Kumbe hakujua taifa kimey bado changa pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…