PostGE2025 Mama Dangote: Diamond hategemei show za Tanzania, anaweza kula kwa miaka 10 bila show

PostGE2025 Mama Dangote: Diamond hategemei show za Tanzania, anaweza kula kwa miaka 10 bila show

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kwani kuna aliyewahi kufa na njaa Tanzania hii kwa kukosa chakula kabisa kabisa?
 
Hizo biashara zake wateja ni akina nani?

Nguvu ya mitandao akizubaa hata nje show zitakuwa za manati.
 
Alikwambia ya kwamba ametoa kama mfano, wewe ni mke wake au ni hawara tu yaani unajua mpaka mifano yake? Hebu tuwekee uthibitisho kuwa huo ulikuwa mfano tu na si uhalisia.
Naona unaongea kwa makasiriko huelewi chochote yaani hujui hata jinsia ya aliyeongea🤣
 
Makuzi. Elimu. Mazingira. Vinaathiri sana namna ya kuchanganua mambo. Binafsi namkubali Diamond kimuziki na Hustle zake, ila kama kuna wakati wanamuziki wanapaswa kujitathmini kuhusu mahusiano yao na Public ni kipindi hiki. Hata uuze Show nje kiasi gani, Home base ndio mtaji namba moja ya mwanamuziki yoyote. Anyways Mungu amsimamie.
 
Anatengeneza attention awatoe kwenye reli, katumwa huyo achaneni naye, hawataki kuamini kwamba maisha ya watanganyika yamebadilika ndani ya mwezi mmoja.
 
Dah kwa hiyo umeshindwa kujua kuwa huyo ni mama yake na sio chawa achana tu na hizi habari maana huzielewi kabisa
Mimi nakuzungumzia wewe na moto wa hako kamama, aren't you capable of understanding straightforward terms?
 
Yale mafuta ya diddy anayajua huyu bi mdash?

Mama umemuharibu sana mwanao
Umetukataa na sisi
Tunawakataa miaka 10.
 
Back
Top Bottom