PostGE2025 Mama Dangote: Diamond hategemei show za Tanzania, anaweza kula kwa miaka 10 bila show

PostGE2025 Mama Dangote: Diamond hategemei show za Tanzania, anaweza kula kwa miaka 10 bila show

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Sasa unanizungumzia mimi kwani mimi ndio niliyosema hayo maneno
Kiingereza cha nini sasa
Kama nimeku-quote wrongly it's by accident, nimei-quote post so yoyote aliyeandika na kupost nilichojibu ndiyo mlengwa wa post yangu.
 
Mondi anafukuzia ubilionea wa dunia awemo kwenye top ten, halafu watu mmeshiba zenu magimbi ndo mnatishia kutoingia kwenye show za Mondi? Mondi anapiga show kwa upendo tu hamna hela za kumlipa nyie wala magimbi!!
 
hatutegemei show za Tanzania.Bila atashow sisi tutakula atakama ni miaka kumiKwasasa diamond anategemea sana biashara zake” Mama Dangote NENO Moja kwa mama Dangote
Hata asipofanya show na kuendelea kula miaka 100 ni yeye na nyie ,Gez wameshastuka ,hakuna views ,wakitoa nyimgo zinaangaliwa na wanaijeria tu ambao hawajui kiswahili ila hadi wakenya nao hawaangalii kazi zao...Jux wa kupata views afu nane?
 
Ngoja atoe Mondi halafu uone kama atapata views wachache
 
Ngoja atoe Mondi halafu uone kama atapata views wachache
Dogo acha uchawa basi.
Mwenzako anapakatwa huko amerika na kina sean combs.
Ukiendekeza sana hizi njaa zako ipo siku atakuunganisha kwenye msafara mkatinduliwe mbolea wote.
 
Vipi biashara zake kama wasafi tv na redio? Je wafanyakazi wake wanaweza kukaa kwa miaka 10 bila mshahara wake endapo wasikilizaji na watazamaji watakoma kuwafuatilia? Huyo bibi anazidi kumuharibia.
 
Hawa kenge na Samia Suluhu wao lazima tuwape wakati mgumu sana mpa wajue kwamba hawajui
 
Choka mbaya masikini mtaumia sana
Ukiwa na hela ya kujikimu maisha yako na familia yako, watoto basi la njano na mke gari yake ya kwendea sokoni hutakuwa na muda wa kumfatilia tajiri

1765058220027.png

1765058288172.png

View: https://youtu.be/t4F_DNgVQ6U
 
Hata asipofanya show na kuendelea kula miaka 100 ni yeye na nyie ,Gez wameshastuka ,hakuna views ,wakitoa nyimgo zinaangaliwa na wanaijeria tu ambao hawajui kiswahili ila hadi wakenya nao hawaangalii kazi zao...Jux wa kupata views afu nane?
Jux ni msanii mzuri lakini Hana fan base kubwa kwa hapa soko la ndani pamoja na mgomo wa raia Kuna wasanii hawawezi kupata views ndogo Kama hiyo
 
Kawaida, huwa wanasema hivi baadaye wanakuja kujitilisha huruma, ila huyu mama mswahili ile mbaya na kashindwa kbs kwenda na mabadiliko ya lifestyle ya mwanae
 
Vipi biashara zake kama wasafi tv na redio? Je wafanyakazi wake wanaweza kukaa kwa miaka 10 bila mshahara wake endapo wasikilizaji na watazamaji watakoma kuwafuatilia? Huyo bibi anazidi kumuharibia.
Kuna nyimbo alizofanya miaka 5 nyuma zinamlimpa mpaka Leo kutokana na sera ya hati miliki.Tuwe wa kweli huyo mwamba kawekeza sana kwenye ardhi na nyumba za kukosisha plus na kuwa ambassadors wa makampuni makubwa yaani mkuu media sio sehemu pekee anayopata pesa. Hii akili wangekuwa nao wasanii wengine wasingekufa njaa kwenye hili sakata wasanii wanaoathirika ni Marioo, mbosso, harmo kiasi chake, kina meja kunta n.k
 
Back
Top Bottom