M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,825
- 20,941
Kama nimeku-quote wrongly it's by accident, nimei-quote post so yoyote aliyeandika na kupost nilichojibu ndiyo mlengwa wa post yangu.Sasa unanizungumzia mimi kwani mimi ndio niliyosema hayo maneno
Kiingereza cha nini sasa
Uwe unasomaga vizuri basiKama nimeku-quote wrongly it's by accident, nimei-quote post so yoyote aliyeandika na kupost nilichojibu ndiyo mlengwa wa post yangu.
Tunafanya city vingi simultaneously, si kwamba concentration iko sehemu moja tu.Uwe unasomaga vizuri basi
UhakikaTunafanya city vingi simultaneously, si kwamba concentration iko sehemu moja tu.
Hata asipofanya show na kuendelea kula miaka 100 ni yeye na nyie ,Gez wameshastuka ,hakuna views ,wakitoa nyimgo zinaangaliwa na wanaijeria tu ambao hawajui kiswahili ila hadi wakenya nao hawaangalii kazi zao...Jux wa kupata views afu nane?hatutegemei show za Tanzania.Bila atashow sisi tutakula atakama ni miaka kumiKwasasa diamond anategemea sana biashara zake” Mama Dangote NENO Moja kwa mama Dangote
Ngoja atoe Mondi halafu uone kama atapata views wachacheHata asipofanya show na kuendelea kula miaka 100 ni yeye na nyie ,Gez wameshastuka ,hakuna views ,wakitoa nyimgo zinaangaliwa na wanaijeria tu ambao hawajui kiswahili ila hadi wakenya nao hawaangalii kazi zao...Jux wa kupata views afu nane?
Dogo acha uchawa basi.Ngoja atoe Mondi halafu uone kama atapata views wachache
Atapata tu kwani yeye ni nani?Ngoja atoe Mondi halafu uone kama atapata views wachache
Msanii mwenye subscribers wengi youtube kuliko wote chini ya jangwa la SaharaAtapata tu kwani yeye ni nani?
Msanii mwenye subscribers wengi youtube kuliko wote chini ya jangwa la Sahara
Unampangia sasa muda wa kutoa kazi zakeSawa mwambie basi atoe tuone namba za viatu.
Atajijua mwenyewe ,atoe kazi asitoe ni yeye!Unampangia sasa muda wa kutoa kazi zake
Jux ni msanii mzuri lakini Hana fan base kubwa kwa hapa soko la ndani pamoja na mgomo wa raia Kuna wasanii hawawezi kupata views ndogo Kama hiyoHata asipofanya show na kuendelea kula miaka 100 ni yeye na nyie ,Gez wameshastuka ,hakuna views ,wakitoa nyimgo zinaangaliwa na wanaijeria tu ambao hawajui kiswahili ila hadi wakenya nao hawaangalii kazi zao...Jux wa kupata views afu nane?
Kuna nyimbo alizofanya miaka 5 nyuma zinamlimpa mpaka Leo kutokana na sera ya hati miliki.Tuwe wa kweli huyo mwamba kawekeza sana kwenye ardhi na nyumba za kukosisha plus na kuwa ambassadors wa makampuni makubwa yaani mkuu media sio sehemu pekee anayopata pesa. Hii akili wangekuwa nao wasanii wengine wasingekufa njaa kwenye hili sakata wasanii wanaoathirika ni Marioo, mbosso, harmo kiasi chake, kina meja kunta n.kVipi biashara zake kama wasafi tv na redio? Je wafanyakazi wake wanaweza kukaa kwa miaka 10 bila mshahara wake endapo wasikilizaji na watazamaji watakoma kuwafuatilia? Huyo bibi anazidi kumuharibia.