Mama Dangote na Ki Ben10 chake Shamte ndani ya Dubai

Mama dangote anavibastola vya kizee ila poa kama pesa ipo tu mbona hata humu kuna watu wanawala wazee kaka yangu. Asprin nikumbushe ile habari ya yule MUTU alitongoza demu humu akachukua hotel na akamwambia aende room namba 7 jamaa akapiga nyagi akijua anakuta chuma hatare maana avatar inaita!alipofika akakuta bibi kizeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akashindwa kurudi nyuma ikambidi amnyooshe maana hakuna namna!ikawa mwanzo mwisho hata akim pm jamaa anapotezea ila mtu wangu sana nikimuona huwa nacheka sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Khaaa yaani alienda lodge bila hata kuona picha ya mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…