Mama Dangote na Ki Ben10 chake Shamte ndani ya Dubai

Mama Dangote na Ki Ben10 chake Shamte ndani ya Dubai

Mama dangote anavibastola vya kizee ila poa kama pesa ipo tu mbona hata humu kuna watu wanawala wazee kaka yangu. Asprin nikumbushe ile habari ya yule MUTU alitongoza demu humu akachukua hotel na akamwambia aende room namba 7 jamaa akapiga nyagi akijua anakuta chuma hatare maana avatar inaita!alipofika akakuta bibi kizeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akashindwa kurudi nyuma ikambidi amnyooshe maana hakuna namna!ikawa mwanzo mwisho hata akim pm jamaa anapotezea ila mtu wangu sana nikimuona huwa nacheka sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahahahahahahahahahahaaaaaaaa. Hatari sana
 
mama ana kahips....unapasuaa tu.
Kwa jinsi alivyosimama hapo ni wazi kafosi hips ionekane ila hana hips. Kwa kifupi ni shapeless. Pozi hili hata mwanaume ukisimama ukagoai lazima uonekane na una hips. Hips kama unazo simama wima zitaonekana tu.
 
Duu kweli pesa Noma,Mama kawa kama under 19 ingawa jua likizama limezama tuu piko na visuruali ni kujisahaulisha tuu kuwa tayar ww Una wajukuu
 
Huyo Juma Lokole anasagana na Esma au chakula ya nani kwa hiyo familia? maana sio kwa ukaribu huo.
 
Life style
Yajayo yanafurahisha
Usishangae siku za usoni ukasikia mtoto kalala na mama yake
Changanya uswahili wa familia
 
Mleta mada,mbona unamshambulia sana baba daimond.kulikoni.!?
 
Busara hazijakupungukia.Kudos


mimi namheshimu sana mtu anayeitwa mama jaman..toka nihudhurie leba dah nimekuwa na adabu..ingawa mama mnoko ila namheshimu kwakweli..sikujfurahi hata kidg..mambozi mwanchipolopolo..unanikumbusha enzi ya chipolopolo enzi hizo tupo chuo..dadek
 
mimi namheshimu sana mtu anayeitwa mama jaman..toka nihudhurie leba dah nimekuwa na adabu..ingawa mama mnoko ila namheshimu kwakweli..sikujfurahi hata kidg..mambozi mwanchipolopolo..unanikumbusha enzi ya chipolopolo enzi hizo tupo chuo..dadek
Umenifanya nicheke japo umeongelea issue serious.Nakubaliana nawe.Mama aheshimiwe,wametuvumilia sana.Pole na hongera kwakuwa mama.By the way,mambo poa tu.Mwachipolopolo inakukumbusha nini mlipokuwa shule?
 
Back
Top Bottom