Mama Diamond amchenjia Soudy Brown hadi akakosa pozi

Mama Diamond amchenjia Soudy Brown hadi akakosa pozi

Teh teh...Eti mama wa Dunia..Ana mbwembe kama za mwanae
 
Wale vijana wa shilawadu huwa wanfurahisha sana haswa wanapomchokoza mtu wanayemhoji huwa wanatupiana mpira
 
Rutashobolwa, unamaanisha wale askari wa bosi wako au? Taratibu mnaanza kukiri ee! Dhuluma haijawahi kumwacha mtu salama.
 
Watoto hawana adabu.Kwetu sisi ni matusi kumuuliza mama juu ya mwanawe wa kiume kumpa mwanamke mimba
 
Back
Top Bottom