Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anachouliza jamaa ni kwamba baada ya kujitambulisha "mm sudi" wanashindwa nn kukata cm kwani ni lazma kuendeleza mazungumzo?Hawana namba yake af anabadilisha sana namba yule
Huyo ni mbembe wa karemiiNi mzaramo wa Kigoma
Mwanangu ndio maana ya journalist na huyu yupo kitengo cha paparazzi kwahyo ata umpige ngumi hawezi acha hahaha
Ipo haja ya kupokea kama umejipanga kama mama platinum lkn kama vp una toka nduki kama Hamisa MobetoMwambie huyo sudy kuna demu nimempa mimba anipgie na mm nimpe ubuyu ilikuaje
Yuko kazini watoto wanahitaji mkateYaani mtu kuanza tu mahojiano umeisha itwa mnafiq na mmbeya kama mara tano hivi kila baada ya sentensi tatu unaitwa tena mnafiq kweli na weye bado unapata nguvu ya kuendelea na kuhoji!
Duh!Yuko kazini watoto wanahitaji mkate