cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alichokifanya sio sawa ni ujinga kwakweli, ana namba yake angemuita shishi food amuweke chakula mezani amuwekee na hilo zigo la kifaransa mezani....
Ila hilo zigo mbona kama la hapa hapa, kama zigo flani la pande za buza.