Mama Diamond awamwaga watu machozi kutokana na picha za misukosuko aliyopitia mwanae

Nilitaka kusema nashangaa maneno yameyeyuka!!!
 
Sijaelewa chochote hapa.
Unamaanisha kuwa na sie tuweke picha zetu za utotoni hadi hapa tulipo.
Kama unahistoria yenye ushawishi na inayopaswa kuwa mfano wa kuigwa kwa watu wengne na umeweza kufanikisha kwa kiasi kikubwa, basi fanya kuanzisha thread yako
 
SASA HAPO CHA KUMWAGIA MACHOZI KIKO WAPI? mi nilijua labda ameonesha picha za nassibu kuchunwa ngozi au kugongwa nyundo za kichwa afu ndo wadau wanampa hela!, kumbe ni za kubusiana na mama ake, zingine kaweka pozi matata, nyingine anakunywa soda ambapo kipindi kile ulikuwa mtu unaonekana mjanja.. huo ni unafiki wa hali ya juu... mtu kidogo unaeweza kuguswa na background yake ni labda Paul'o Makon Da huyu ndo kahenyeka hadi anafuta viatu vya mtoto wa mhe. sio mchezo!
 
Watu wengine mavi kweli yani nchi kama tanzania nishida hakuna vitu vya maana kama elimu maji barabara bidhaa kupanda bei kiolela mambo kibao mtu anaandika maupumbavu mida mingine mnaboa sana wasengelema nyie hata familia zenu mnazifatilia kama hao wasenge wenzenuu nyambafuuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…