youngdonats18
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 685
- 443
Ama kweli mchumia juani hulia kivulini, tucwe wepesi kujaji mafanikio ya mtu bila kujua aliyopitia, tazama picha hizi ujifunze kitui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu acha tuMachozi kabisaa!!
Mnajua kuyakuza nyie!!!
HatareeMachozi kabisaa!!
Mnajua kuyakuza nyie!!!
Kama unahistoria yenye ushawishi na inayopaswa kuwa mfano wa kuigwa kwa watu wengne na umeweza kufanikisha kwa kiasi kikubwa, basi fanya kuanzisha thread yakoSijaelewa chochote hapa.
Unamaanisha kuwa na sie tuweke picha zetu za utotoni hadi hapa tulipo.
Ama kweli mchumia juani hulia kivulini, tucwe wepesi kujaji mafanikio ya mtu bila kujua aliyopitia, tazama picha hizi ujifunze kitui![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ngoja tukusupport tu kwa thread yako, lakini haina umaana wowote.Kama unahistoria yenye ushawishi na inayopaswa kuwa mfano wa kuigwa kwa watu wengne na umeweza kufanikisha kwa kiasi kikubwa, basi fanya kuanzisha thread yako