youngdonats18
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 685
- 443
- Thread starter
-
- #21
Kumbeee!! Jaribu kusubscribe kwny jukwaa la siasa , nafikiri kuna mengi utayakuta huko, hata me pia nashariki kwny majukwaa mengne jf, xo fanya tukutane hukoWatu wengine mavi kweli yani nchi kama tanzania nishida hakuna vitu vya maana kama elimu maji barabara bidhaa kupanda bei kiolela mambo kibao mtu anaandika maupumbavu mida mingine mnaboa sana wasengelema nyie hata familia zenu mnazifatilia kama hao wasenge wenzenuu nyambafuuuuuu
Kwmb mitandao ya kijamii inanyumba na magari ambayo watumiaji wa social network wanaishi, et!!!!!Nilichogundua watu wengi wa mitandao Ya kijamii hawajui maisha magumu .....
CelebrityKila mmoja ana magumu aliopitia huyo Diamond ni nani kwani!
Hujakosea kwa Tafsiri Yako pia ila kwa maisha HaYo Ya diamond kusema kwamba ametoka hohe hahe mbwa kachoka mnawakosea watu waliotoka pangu pakavuKwmb mitandao ya kijamii inanyumba na magari ambayo watumiaji wa social network wanaishi, et!!!!!
sure, mtoa mada anaonekana wa kishuaNilichogundua watu wengi wa mitandao Ya kijamii hawajui maisha magumu .....
hizo picha za misukosuko na hayo machozi yako wapi?Ama kweli mchumia juani hulia kivulini, tucwe wepesi kujaji mafanikio ya mtu bila kujua aliyopitia, tazama picha hizi ujifunze kitui
HahahahahahKuna watu wana machozi ya kuchezea aisee.
Kuna watu wana machozi ya kuchezea aisee.
Wengine apa tukiweka picha za utotoni na za sasa utakachoona ni kwamba picha za utotoni tulikuwa peku na za sasa tumevaa ndalaSijaelewa chochote hapa.
Unamaanisha kuwa na sie tuweke picha zetu za utotoni hadi hapa tulipo.
mungu anaweza kuku inua popote pale ulipo!!!Hataree
Ni kweli kabisa Mkuu.Wengine apa tukiweka picha za utotoni na za sasa utakachoona ni kwamba picha za utotoni tulikuwa peku na za sasa tumevaa ndala
Sijaona picha ya kummwaga mtu machozi hapo.