Mama Diamond awamwaga watu machozi kutokana na picha za misukosuko aliyopitia mwanae

Nasib alikua anapenda mziki toka akiwa mdogo sana mwacheni apate mafanikio anayoyapata sasa
 
Mbona hizo picha zinaonyesha jamaa kalelewa kwenye maisha yakupata huduma zote za muhimu hakuna cha kushangaza hapo!
Exactly! Mimi huwa nashangaa watu wanaosema Diamond kaanzia chini. Diaomond kuna picha anaendeksha baiskeli za watoto. Ni watoto wachache sana hata leo hii wanamiliki Baiskeli. Hakutokea chini kiiiivyo!
 
History yA chibu na maisha aliyoishi nA mama yake Mbona alishawah elezea....mtt wa watu kaliteseka...mama ndio alikua nguzo yke nA wala hajasahau alipotoka pamoja nA ustar alionao....nikalale mie
 
Mbona sijaona picha za hiyo misukosuko?

Hebu acheni Porojo!
 
Kitendo cha kupiga picha tuu ni tafsiri ya maisha mazuri,
 
Kuna watu tukiweka history zetu apa mtatoa damu sio machozz tenaa. ..
 
sometimes you might think you've been through a lot of sh!ts until you got to hear another story... people are living in hell
 
[emoji23][emoji23] Sir it would be better to calm down
[emoji6][emoji23] The post will be removed hahaha
 
Acheni kufananisha machozi Na vitu vya kipumbavu. Ukiona pocha za maisha aliyolelewa eminnem ndo unaweza lengwa Na machoz kwa mbali. Ukikosa picha angalia tu video yake ya I AM SORRY MAMA.
Wewe na akili zako unaamini kabisa huyu jamaa kasota??? Ni sawa na Biggie alivyosema mama yake alikuwa ana struggle kuweka chakula mezani-Mama(a teacher then)akakanusha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…