Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Mimi niliacha zamani ila yeye nafikiri badoPengine mnavuta pamoja?
Yan mama huyu hazimtoshi hahaha eti wangezimia hahahaBusara mama angesema hajui kilichomtokea mwanae kimfanye asifike msibani
Kamanda kuna shida gani?
Au Juma Nature qibratanMama Diamond sasa amekuwa msemaji wa mwanae!!!! Diamond ajue yeye ni brand maneno kama haya yanasemwa na mzazi yanampunguzia sana mashabiki na yanaaminika moja kwa moja kwa vile yametoka kwa Mama Diamond ivo awe makini na pia atoe katazo kwa wana ndugu kutoa taarifa zozote ni hatari sana
Pili mama Diamond sijui Amewahi kumshuhudia mtu anaitwa Mr Nice;?? Akajifunze kitu kutoka kwa mama mr nice
Acha uongo msiba wa kanumba watu walizimia kisa wingi wa watu ambao ulikuwapo tokea hata diamond hajaja na.pale watu walienda kumuaga kanumba si kumuona Diamond, kipindi hicho diamond bado sana hajawa famous kiasi hiki, na hiyo april 2012 watu walikuwa wanamkubali sana KanumbaMsiba wa Kanumba watu walikuwa wengi sana lakini walikuwa wametulia!Tatizo likaja Diamond alipotokea pale msibani kiasi kwamba polisi wakalazimika kuingilia kati! Watu wakasahau ya msiba na badala yake kila mmoja akitaka kumuona Diamond. Kizaa zaa kwenye ule msiba kiliibuka alipotokea JK na Diamond, kiasi kwamba hata siku ya kutoa salamu za mwisho, busara ikaonekana Diamond asiende kutoa salamu!
We pimbi kweli; kuna mahali niliposema watu walizimia?! NImesema kwenye msiba wa Kanumba watu walikuwa wengi sana lakini walikuwa wametulia! Alipotokea Diamond, ndipo ikaanza mshike mshike hadi polisi wakalazimika kuingilia kati na kumsindikiza Diamond alipokuwa amepangiwa kukaa lakini ilishindikana! Video hii hapa wakati Diamond anawasili msibani!!Acha uongo msiba wa kanumba watu walizimia kisa wingi wa watu ambao ulikuwapo tokea hata diamond hajaja na.pale watu walienda kumuaga kanumba si kumuona Diamond, kipindi hicho diamond bado sana hajawa famous kiasi hiki, na hiyo april 2012 watu walikuwa wanamkubali sana Kanumba
Hakuwa maarufu kiivyo alafu hakuna haja ya kunitukana, nakwambia umaarufu wa diamond mwaka 2012 haukuwa mkubwa sana kama mwaka 2014 na kuendelea, Diamond mwaka 2012 bado hajatoa hata ile Kesho , hata nyimbo nyingine kali kali, Diamond ni maarufu tokea 2014 zaid, miaka hiyo alikuwa kama Zilla tuWe pimbi kweli; kuna mahali niliposema watu walizimia?! NImesema kwenye msiba wa Kanumba watu walikuwa wengi sana lakini walikuwa wametulia! Alipotokea Diamond, ndipo ikaanza mshike mshike hadi polisi wakalazimika kuingilia kati na kumsindikiza Diamond alipokuwa amepangiwa kukaa lakini ilishindikana! Video hii hapa wakati Diamond anawasili msibani!!
Halafu unaonekana wala sio mtu wa burudani! Yaani 2012 Diamond alikuwa hafahamiki?! You can't be serious! Hivi tangu atoke Nenda Kamwambie mwaka 2009 hadi 2012 Diamond alikuwa ametoa hit ngapi ambazo zilishamtengenezea history?
Kama mnasema hakuwa na umaarufu kanumba alifarik 2012 kama sijakosea nadhani hiki kipindi ndo umaarufu wa diamond ulianza kuja juu narecall tu jamaa alivotokeaga msibani leaders daaaah ilikuwa taflan ila wasanii wengine ilikuwa fresh tuHakuwa maarufu kiivyo alafu hakuna haja ya kunitukana, nakwambia umaarufu wa diamond mwaka 2012 haukuwa mkubwa sana kama mwaka 2014 na kuendelea, Diamond mwaka 2012 bado hajatoa hata ile Kesho , hata nyimbo nyingine kali kali, Diamond ni maarufu tokea 2014 zaid, miaka hiyo alikuwa kama Zilla tu
Baada ya kulia lia kwamba umetukanwa, nadhani ulitakiwa kwanza uwe na adabu wakati wa kuwajibu wenzako! How come unaibuka from nowhere na kuniita muongo?! Ulishindwa kutumia lugha ya kiungwana?!Hakuwa maarufu kiivyo alafu hakuna haja ya kunitukana, nakwambia umaarufu wa diamond mwaka 2012 haukuwa mkubwa sana kama mwaka 2014 na kuendelea, Diamond mwaka 2012 bado hajatoa hata ile Kesho , hata nyimbo nyingine kali kali, Diamond ni maarufu tokea 2014 zaid, miaka hiyo alikuwa kama Zilla tu