Tetesi: Mama Diamond kumshtaki Ommy Dimpozi

Daimond kinachomsumbua niukosefu WA elimu ya utambuzi ujinga wake unaicost familia yake sema ndovile yeye ndomtafuta ugali hakuna wakumkemea nyumbani
 
Una hakika na unalosema mkuu au umeamua na wewe kuandika thread !!! Unataka mama wa watu aongee ili upate nini kijana...ushabiki mungne hata sio mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Japo si busara na adabu kutukaniana mama,ila inauma sana kwa mwanaume rijali kuitwa shoga.mnaomtetea dai,jivikeni kwanza viatu vya Omi kuitwa shoga.Diamond ni mchokozi sana,lakini hawezi ugomvi.Level alizofika diamond sio za kuwachokoza wasanii wenzake ni kuwasaidia nao watoboe kimataifa.Kalianzisha mwenyewe asitafute huruma ajifunze.Vijana tuheshimiane,
 
Bado nasubiri Post ya Dimond kukanusha Kuwa Ommy ajamkula bi.Mkubwa wake ahaaa ahaaa.

Anaetoka na taulo chumbani Kwa mama ako ndio baba ako huyo.
 
Na wale timu domo washtakiwe kwa kumtusi Ommy matusi ya nguoni! hivi sheria za mtandao hazipo instagram eh?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…