ndisi-jujo 2
Member
- Jul 19, 2017
- 64
- 59
Hiyo sentens ya mwisho kibokoBado nasubiri Post ya Dimond kukanusha Kuwa Ommy ajamkula bi.Mkubwa wake ahaaa ahaaa.
Anaetoka na taulo chumbani Kwa mama ako ndio baba ako huyo.
Kwani si walisemaga pozpoz nae anapumuliwa??
Na inasemekana alikuwa anaulilia kinoma huo muhogoKwa hio ina maana bi. Mdash kapigwa mashine na ommy?
Dah majanga sana bobu, wazee kama vijanaNa inasemekana alikuwa anaulilia kinoma huo muhogo
Ugomvi ulikuwa wa Dimond na Ali.Lazima ujisikie vibaya. Lkn ugomvi wenu wawili kwanini uingize wengine? Tena mzazi
Haya mkuu. Ngoja niwaache na makiki yaoUgomvi ulikuwa wa Dimond na Ali.
Dimond akamuingiza Ommy na Ommy akamuingiza demu wake mama Dimond.
Tatizo liko wapi hapo!?
ee Naskia wanamtindua ....lakini sija-proveKwani si walisemaga pozpoz nae anapumuliwa??
DAB hawezi ingilia huu mziki. Coz anajua kiboko yake Mange Kimambi ndie DJ ktk hii show![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yani DAB akiguswa lazima utie miguu, pole sana aisee yani mwaka huu wako. Mpaka naanza kuhisi yawezekana wewe ndiye DAB mwenyewe
alotafuta kiki kwa wenzake nani? punguza mahaba mkuuDAB anahusika vipi katika mambo hayo.Tupe ushahidi na utuambie anahusika vipi.Maana nishachoka na habari za umbea wa vijana wa kitanzania.
Afu kwa nini kila jamaa akitaka kutoa wimbo wanatafuta kiki kupitia chibu?
Wat goes around comes aroundIko hivii, kwanza alotoa huo ubuyu kwa mange ni mama mobeto peke yake, na ametoa kwa sabb kuu mbili . Ya kwanza . Mama diamond na esma walikua mstari wa mbele kumkuadia hamisa kwa diamond nia na lengo lao ni kumuuliza zari, na wakamuahidi hamisa kwamba watafanya juu chini zari aachike akae hamissa ( kama mnakumbuka kuna kipindi zari na mkwe wake na wifi yake walikua hawana maelewano mazuri kabisaa) ndio kipindi ambacho hawa wawili walikua wanafanya yao. Shida ilikuja baada ya hamisa kujifungua na wawili hao kua shinikizo kubwa la ndugu yao kukataa mimba. Na wamekataa baada ya kugundua hamisa na mama yake walikua mstari wa mbele kushirikiana kumchuna patric na mond ndio maana wakaamua kuikataa mimba. Sasa mama mobeto akaona mwane kaoneowa yaan wamemchezea afu wamemuacha hapo mwanae bila chochote. Ndio wakaanza sasa kuchafua hali ya hewa kwa kupost mtt, mara wabadili majina na mambo mengine kibaoo. . Sababu ya pili . Mama mobeto na mama dai waligombana tena na sabb kubwa ilikua huyo bwana wanedai kamuoa bi sadra, huyo bwana hajamuoa ila wapo pamoja. Ila mama mobeto kamwaga sabb kaona katolewa nje afu bi sandra anakula maisha. Hili bifu lipo kwenye hizi familia mbili, na haya mambo wameyaunda wenyewe saivi yanawageuka, tena yanawageuka vibaya sabb walikua wanamfanyia ubaya mtu ambaye anawafanyia mema